REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,460
- 9,394
Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%
Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.