CRDB Bank badilikeni

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,438
9,336
Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%

Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
 
Mwalimu umepatwa na nini mbona mapema sana subiri benki wajipange na mama atoe hitimisho kama % zilikuwa sawa au walikosea ili ukope mzigo mrefu
 
fuata taratibu za watu acha mambo yako mkuu
hizo ndo taratibu zao ,zifuate au basi
 
Mwalimu umepatwa na nini mbona mapema sana subiri benki wajipange na mama atoe hitimisho kama % zilikuwa sawa au walikosea ili ukope mzigo mrefu
Kwaiyo watumishi wa umma nchi hii ni walimu tu ebu badilika
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
mnakosea sana kupaparika na hizi %.

nao wanazitumia kuwaburuza.

hao walikuja kwenye taasisi yangu na hizo chorus,tukawaambia,kama haiwezekani kutukopesha bila mashahara kupitia kwenu basi na kikao chenu kife muondoke tu.hamtapata hata 1% ya wakopaji kutoka taasisi hii,maana mishahara kupitia wapi sio matakwa ya mtumishi.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%

Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
hakuna bank yenye riba rafiki kwa mteja ni maumivu tuu ila shida zetu ndio zinatajilisha watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom