"CRAZY Things We Do For Love"...

"CRAZY Things We Do For Love"...

i see things we do for love!huwa tunafanya vitu ving sana sanaaaaaaa!niliwahi kufanya kitu kwenye maisah yangu sitakaa nisahau! mi niliwahi sana kuwa na boyfriend (kwa wakati ule sikuona ni tatizo,but now duh!)was like 14 years form one!the guy wa form two, OMG!I LOVED THE GUY!

Tulikuwa shule moja it was like mapacha,tulishawahi mpaka kuitwa na walimu mbya zaidi our parents met on the the day,but we stood for our love,tukalamba fimbo pale nyingi tu!lakini wapi!yakapita mengi katikati like mpaka mi nafika from 4 the guy akawa yupo 5 lakini shule nyingine hapahapa dar,tukawa tunaendelea,tunafika form 4 nikaconcieve,DUH!and it was karibu na national exams, nilifanya mtihani ule nikijua shule ndo basi tena though nilikuwa na uwezo mkubwa kweli darasani huku nikijua baba yangu angenila nyama baada ya kujua nina mimba!nikafanikiwa kufanya mitihani yote bila walimu kunigundua au waliamua tu kunichunia sijui!KIMBEMBE KIKAWA SHULE NIMESHAMALIZA NA MUDA WOWOTE HOM WATAJUA.

Jamaa amedata ile mbaya,basi nikamwambia mi ntatoroka home ila nakuandikia barua moja hivi itakusaidia mbele ya safari,nikadraft barua akaisoma unajua niliandika nini?nilimwambia nina mimba lakini nafikiri sio ya kwako,unisamehe sana nilikusaliti so uendelee na maisha yako,jamaa akastuka we vipi?nikamwambia najua baba yangu akijua nina mimba kitu cha kwanza kufanya ni kuhakikisha unafukuzwa shule,mi najua atanisomesha tu hata baada ya hasiara kuisha lakini wewe maisha ya hom mi nayajua itakuwa ngumu,jamaa alilia sana akaniambai hivi unajua ndo huyo mtoto hatakuwa wangu tena nitaweza kuyaka na maneno haya baadae,nikawambia tusolve kwanza hili then mengne tutajua mbele kwa mble!basi kweli bwana baada ya kama mwezi hivi nilipoona hali inazid kuwa tete nikatoroka home na kwenda kwa ndg,then ye ndo nikamwambia tatizo langu,baba yangu aliponiulizia huko kesho yake maana nilienda mkoani so sikurudi hom tht nyt,akaambiwa nipo kule na ni mjamzito!YU CAN IMAGINE ALIKUWA SHOCKED KIASI GANI!

Since alikuwa anajua nani ni kijana msumbufu kwenye himaya yake alikwenda kuulizia shule niliyomaliza wakampa adress ya kwao na mvulana,akabeba mashahidi manake alikuwa anajua for sure mhusika ni huyo.Wazazi wa jamaa wakamwita kumuuliza akasema hiyo mimba sio yangu maana mwenyewe aliniandikia barua na kusema sio yangu so mimi sihusiki though ni kweli alikuwa ni gf wangu!

Babangu kidogo azimie aliposoma ile barua!(AM VERY SORRY DAD)akaondoka na kurudi hom ,hakuniuliza chochote!matokeo yalipotoka nilipata div 2,na siku najifungua ndo wenzangu wanatakiwa kuripoti sheleni kwa ajili ya form 5,sikwenda na sikuulizwa habari ya shule for a whole year!mwaka uliofuata ndo nikarudisha shule na nikaacha mtoot hom akilelewa na dada zangu.NILIPIGWA MARUFUKU KUONANA NA YULE KIJANA MILELE!lakini i saw him the very day nimejifungua alikuwepo hosp bila ndugu zangu kujua na akamuona mtoto wake usiku ule ule baada ya ndg zangu kuondoka!

ITS 13 years now na tulifunga ndoa miaka 8 iliyopita !BUT wat if kweli the guy angestick kweny story kuwa mtoto si wa
ke?wat if asingenioa?THINGS WE DO FOR LOVE!ITS CREZY CRAZY CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAZY!lol
 
Calling ur partner in the middle of the night just to prove whether he/she is at home or not....kumbe maskin ya Mungu mtu yupo kwake au kwao kajilalia..# silly..
 
Unaenda dukani kununua vichupi vya bikini dume zima navikagua na kuviinua juu kuona kama vitamtosha bibie..stupid kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom