CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

hivi nimeona kitu kuhusu exemption fee kwa courses umesoma prior labda kwenye bachelor's degree yako mostly accounts maana mfano udsm bcom accounting wamesoma masomo baadhi hata kwenye hiyo intermediate level ambayo ndio wanayoanza nayo,, sa mfano mtu ashasoma auditing, , financial accounting, financial management, taxation, corporate governance etc.. hamna njia anayoweza yaexempt hayo? ( ingawa natambua kwamba from intermediate level no exemptions, but hili swali lanitatiza kidogo,.)
 
Aisee umeongea pumba kabisa. Yaani unalazimisha kitu ambacho hakiko valid in terms of education. Na ndiyo maana mifumo yetu ya elimu ni ya ovyo kabisa kwa sababu ya ufinyu wa mawazo ya watu kama nyie. Kuna academicians wengi sana hawaelewi chochote hata basic things related to their academics hawavifahamu. Mimi binafsi nina CPA na sikupitia huko unaposema wewe, ila ninawafundisha hao vilaza wenye degree za accounts na ninajionea madudu mengi kwenye huo upuuzi unaopigia chapuo (academic qualifications). Nikirudi kwenye ACCA siyo kweli kwamba ukitaka kufanya mitihani yao ni lazima uwe na degree au diploma, hapana. Unaweza ukafanya ACCA hata ukiwa na cheti cha form six tu kama ilivyo kwa mitihani ya CPA vile vile. Acha kupotosha watu kwa uelewa wako mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa wameamua kuinajisi Kwa faida Yao , sijui tatizo ni nini ?
 
Wewe hujui mambo ya profesion. Kwenye kwenye CPA kuna content ambazo hazimo ila zinapatikana kwenye bachelar ya uhasibu.

Kwa hiyo ofisi yenu iko sawa.hizo ni sifa mbili tofauti.

Content ipi ambayo ipo kwenye CPA ya Tanzania lakini haipo kwenye degree ya uhasibu?
 
Ndio maana nasema hii elimu ya cpa ni elimu ya kijinga, sasa kama vilaza kama wewe mnapata cpa kuna haja gani ya kua na hiyo elimu.

Kwa maelezo yako ulivyo mjinga basi zifutwe taaluma za uhasibu vyuo vikuu, maana kama unaweza kua mhasibu bila kwenda chuo kikuu, unaweka taaluma ya chuo kikuu ili iweje? Ni sawa na bodi ya uhandisi ianzishe mfumo wa mitihani, kwamba ufanye tu mitihani ufaulu hata kama hujasomea uhandisi chuo kikuu, ili mradi umefaulu mitihani basi wewe ni mhandisi, sasa kutakua na haja gani ya kua na taaluma za uhandisi vyuo vikuu.

Unaongelea kufundisha ndio unajiona mjanjaaa? Kukarili maswali ya acca na majibu yake na kufundisha vilaza wenzio ndio unajiona mjanja, hovyo kabisa.

Ndio maana nasema huu mfumo wa cpa umesababisha vilaza na wapenda shortcut kama wewe kuskip academic qualifications na kujikita kwenye kukarili maswali ya acca/ireland cpa na majibu yake kisha kufaulu na kujiita wahasibu.

Cpa ya sasa hata kama umemaliza darasa la saba, ili mradi uweze kukarili maswali na majibu ya mitihani ya cpa, ukifaulu unakua certified public accountant. Ofisini tuna wahasibu vilaza kama wewe, hawajui chochote, hata kujenga hoja tu na kufanya financial analysis hawawezi ila wana cpa, wanabaki kunigambia cpa,ucenge.
 
Yaani umeongea ujinga wa kiasi cha juu kabisa. Hivi wanaokariri kati ya wanafunzi wa acca/cpa na vyuoni ni nani? Ovyo kabisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umeongea ujinga wa kiasi cha juu kabisa. Hivi wanaokariri kati ya wanafunzi wa acca/cpa na vyuoni ni nani? Ovyo kabisa wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga kama wewe hujui kuandika hata hovyo unaandika ovyo, alafu unasema una cpa, ndio maana nasema cpa ni ya vilaza, mbaya zaidi imewapa mwanya hata mataahila, ukikarili mitihani ukafaulu unakua huna tofauti ya alieenda shule na ambae hakwenda maana wote mna cpa.
 
Kuna mijitu ya hovyo sana.
 
Siasa imeingia kwenye CPA , walaaniwe wote waliofanya CPA kuonekana kituko
 
huyo jamaa hapo juu amepanik mpaka anatukana, ni wale walioishindwa CPA wanaanza kutoka povu,CPA bado ni level ya juu zaidi katika uhasibu,anakosoa mfumo wa cpa bila facts,waliotangulia wameeleza vizuri jinsi ambavyo mfumu wa cpa ya Tanzania haina tofauti kubwa na ACCA na board nyingine kubwa duniani
 
Baada ya kupitia hoja zote za pande mbili, nimeamua kuchukua fomu ya kujisajili (www.nbaa.go.tz). Aidha, nimefika mwenyewe ofisi za NBAA Dodoma na kuwasilisha kile nilichonacho (vyeti) na baada ya wao kuvipitia, nikatakiwa kuanzia Foundation na angalau nifanye masomo mawili ya Financial Accounting & Cost Accounting. Ngoja niicheze ngoma ili niweze kuchangia mada vizuri.
 
Hizi professions za pompous and unnecessary hierarchies zenye repetitive na programmable tasks zote zinaenda kufa kutokana na automation in computerization.

Itafikia wakati sehemu pekee zinazohitaji a CPA accountant ni zile zinazotaka kuipiga chenga mifumo ya kodi, wengine wote wataweza kufanya accounting kirahisi kwa computer hata kama hawana CPA.

Marekani watu wote wana file yearly accounting for taxes, na hili lishaanza kutokea. Watu wanaohitaji accountants ni.

1. Wajinga sana.
2. Wavivu sana
3. Matajiri sana wasio na muda
4.Matajiri sana walio na taxes forms zilizo very complex
5. Wanaofuata mazoea tu

Wengine karibu wote wana file taxes wenyewe, kwa sababu computers zimerahisisha sana accounting.

Focus sasa hivi ni computing packages zinazoweza kufanya kazi vizuri kuliko mtu mwenye bachelor na CPA, halafu zinazoweza kuwa managed na mtu wa form four ambaye hana hata CPA.

Hizi ni habari za nchi zilizoendelea, huko Tanzania sijui mnafanyaje.
 
CPA imerahisishwa sana sikuhizi, zamani ilikuwa mziki mnene CD700 enzi hizo 2003 kurudi nyuma ilikuwa ukiskia mtu kaing'oa ujue kichwa yake ni mashine. Hustle za kuipata ilikuwa ni zaidi kuisaka PhD na kama hujakanyaga ofisini ugumu ulikuwa unazidi maradufu. Ukiwa kilaza ndio unarudia module moja mpaka unatoka mvi😂😂😂 na wajukuu still hujaipata.

Sahivi watu wanaikimbilia tu bila uoga imekuwa kama formality mtu akishapata degree anaikimbilia hata vilaza wengi niliosoma nao wametoboa. Sistaduu muuza sura anafauluje CPA... A very serious joke, sijasoma uhasibu per se ila kwa uwezo wangu wa kishule na hali nayoiona sasa CPA ni swala la maamuzi tu.
 
Fikra kwamba mtihani kuonekana mgumu ndiyo ubora wa elimu ni moja kati ya vikwazo vikubwa vya elimu bora Tanzania.
 
Fikra kwamba mtihani kuonekana mgumu ndiyo ubora wa elimu ni moja kati ya vikwazo vikubwa vya elimu bora Tanzania.
Sio mtihani kuwa mgumu tu...Kuna vilaza ambao wanapenya kama pete inavyopita kwenye kidole kilichotiwa sabuni ya unga.

Ni swala la muda tu CPA zitazagaa mtaani kama zilivyo degree na watu wasijue la kufanya ni nini.

Kitu nilichoona kwa sasa elimu haina msaada wowote wa kumtoa mtu kimaisha kama tulivyoaminishwa na wazee wetu. Kwa mantiki hio mtoto atasoma shule basic mpaka atapofikia ukomo. No stressing kulipia elimu million 20 kisha mtoto aje afungue banda la juice kuendesha maisha.
 
Elimu ni nini?
 
Wasichofahamu wengi ni kuwa ukitoka Form VI na EGM, PCM and PCB then ukaamua kwenda kusomoa Degree ya Uhasibu utafauli na kupata cheti cha degree lakini ukweli huyo mtu atakuwa kasomea "Accountancy" ambayo in hatua ya pili baada ya kuwa na uelewa wa "Book keeping"; hii ndiyo inawafanya wahitimu wengi wa shahada ya kwanza na CPA za siku hizi kuwa na uwezo mdogo wa kitaalamu makazini tofauti na ATEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…