ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,679
- 2,105
hivi nimeona kitu kuhusu exemption fee kwa courses umesoma prior labda kwenye bachelor's degree yako mostly accounts maana mfano udsm bcom accounting wamesoma masomo baadhi hata kwenye hiyo intermediate level ambayo ndio wanayoanza nayo,, sa mfano mtu ashasoma auditing, , financial accounting, financial management, taxation, corporate governance etc.. hamna njia anayoweza yaexempt hayo? ( ingawa natambua kwamba from intermediate level no exemptions, but hili swali lanitatiza kidogo,.)