CPA mbona inakuwa ngumu kuikamata?

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
jamani nina kaka angu mwaka wa 4 Sasa anatafuta hilo dubwana but still halipata.Swali hivi pale NBAA pana urasimu au vipi? Coz broo anakomb sana ila wapi!
 
muambie raha ya kusoma ni kufaulu,kukesha mbwembwe!
mbona wenzie wanafnya seating moja tu wanachomoa?
 
Mhh ajifanyie tathmini yeye mwenyewe mbona wengine wanapata? akae chini na kujiuliza wapi anakosea kulalamika hakutasaidia.Labda hana uwezo wa kusit masomo matatu at par so why alazimishe kuisoma wakati kuna bodi kama acca ambapo mtu anaweza kufanya somo moja kila exam session na ndani ya miaka mitano akawa ameipata(hapo ni kama atapata exemption ya masoma manne ya mwanzo).Japo kwa kusema hivyo haimaanishi kwamba acca ni qualification rahisi! takwimu zinaonyesha kwa wastani 50% ya watahiniwa hufeli kila exam session.Mitihani ya bodi za uhasibu ni tofauti sana na mitihani ya uhasibu ya vyuoni.Inataka commitment ya hali ya juu.Ushauri wangu kama ana hela na bado ana muda katika maisha yake asome acca qualification inayotambulika globally.Vile vile acca ni user frendly japo cpa(T) nayo kwa sasa wameifanyia mabadiliko makubwa sana ili iendane na wakati.Namtakia kila la heri katika safari yake ya kuwa professional accountant.
 
CPA Inasomeka na inafaulika. Mtu anatakiwa apate mda wa kutosha kujisomea kufanya maswal mengi tatizo nimeliona weng ni wafanya kazi hvo uwa wanaegesha 2. Cpa ingekuwa kama coz kweny chuo yan weng wangepata.
 
Back
Top Bottom