Kitendo cha polisi kuzuia maandamano kuwapiga raia hasa wanahabari kinazidi kuipaisha chadema zaidi.Kwa wiki nzima inayoisha kesho,vyombo vyote vya habari ni Chadem tu.Mpaka watu kutoka huko kijijini wananipigia wakiuliza,hivi Chadema vipi tena..nawaambia Tunaonewa na polisi wakizuia kuandamana.Kitendo cha polisi kutanda kila mahali ndani ya miji mikubwa km Arusha,Dodoma,Morogoro na Dar kina-create attention ya watu kujua nn kinaendelea.Asante Chadema kwa kutumia Indirect method kujitangaza.Asante polisi kwa kuendelea "KUJILA" mkizuia maandamano hewa.