Pumbavu unawezaje kulinda mandamano haramu yanayolenga kuvuruga nchi.
Halafu wee choko njoo Dodoma kesho nikuonyeshe kazi mjinga mkubwa wee!!! Si unajidai hapa? kesho tukutane ulingoni!!
Wasipomtanguliza Joyce Mukya hatuandamani ng'ooooo...!!!!
Huyu Chaugonjwa nae asifikiri kuminya haki kutamsaidia chochote, hawa ndio wa kwanza kupelekwa ICC, yetu macho Chaugonjwa, Gadafi hakujua kama atafia kwenye shimo la maji taka.
Wenye hamu ya kuolewa jela na waandamane
Kwani we bawacha uko kundi gani kama siyo la wajinga?
Fafanua mkuu! nchi inavurugwaje?Kwani maandamano hayo yana maudhui gani?
MAANDAMANI HAYANA SURA YA KITAIFA YAMEITISHWANA WATU WASEHEMU MOJA MBOE MCHAGA,MNYIKA MPARE,MDEE MPARE,mutangulie nyinyi kwanza. .
Msafara wa mamba pya kenge wapo, nyie mnaopinga maandamano ni kenge tukianzisha lazima muipende japo kimoyo moyo 😎
kwa kawaida watu wajinga hukimbilia matumizi ya nguvu
Ameonya yoyote asihudhurie maandamano hayo ambayo kitengo cha inteligensia kimebaini.
Chanzo: ITV Habari
Jela inawaita hao wajinga.