Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Nashangaa Askari gani analinda mandamano haramu.Raia yupi anataka maandamano haramu? na watayalinda vipi maandamano haramu?
Nashangaa Askari gani analinda mandamano haramu.Raia yupi anataka maandamano haramu? na watayalinda vipi maandamano haramu?
baada ya karata ya katiba kushindwa sasa cdm wanataka kuleta fujo nchini. macdm wamegeuka misukule hawajui wanapigania nini. raia wengine wanawastaajabu.Huyu Chaugonjwa nae asifikiri kuminya haki kutamsaidia chochote, hawa ndio wa kwanza kupelekwa ICC, yetu macho Chaugonjwa, Gadafi hakujua kama atafia kwenye shimo la maji taka.
Ok,ndiyo maana sasa nimepata majibu kumbe jamaa ni macho mpaka ubongo vyote kwa pamoja.Sio kosa lake tatizo ni makengeza ya ubongo
Tatizo la chadema hakuna kiongozi hata mmoja mwenye akili wako kama kondoo wanakurupuka tu.baada ya karata ya katiba kushindwa sasa cdm wanataka kuleta fujo nchini. macdm wamegeuka misukule hawajui wanapigania nini. raia wengine wanawastaajabu.
Pumbavu niko dodoma mpaka sasa nimekuja kwenye bunge maalumu kijiwe changu kikubwa mwanga bar pale majengo ntakupa na simu yangu,wewe katika wachaga wajinga wewe unaongoza.
Baada ya bunge kuisha narudi simiyu nafunga buti zangu kuwachapa kama kawaida unaleta ushamba wako wa kishumundu hapa.
Nimemsikia,huyu jamaa anastahili kupasuliwa kichwa ili kumuonesha kuwa tumechoka.
Hili si taifa la wajinga
Tatizo la chadema hakuna kiongozi hata mmoja mwenye akili wako kama kondoo wanakurupuka tu.
Cheki nalo hili sijui limetokea wapi.Sasa mbona unajijibu mwenyewe? Unatumika kupitiliza mkuu.
Kwani we bawacha uko kundi gani kama siyo la wajinga?Wajinga ni kama akina chagonja wasioelewa haki za raia.
Shule ulienda kufanya nini mkuu.ni lini na wapi amiri jeshi mkuu amewahi kuwa mstari wa mbele wa mapambano.mmekuwa wajinga wa kupitilizaNi akili mbovu kuandamani wakati aliehimiza maandamano yuko kwake anaangalia mnavyopigwa ktk tv. Mpigwe kwa manufaa yake kisiasa, nenden gerezani mkitoka mtatukuta ushwahilini tunaendelea na maisha kama kawaida.
wapigwe tu
damu mkuu lazima iwatoke kotekote mpaka kule kwenye naniiiNani kamwambia kesho kuna maandamano. Mwaka huu CCM watatapika nyongo.
Shule ulienda kufanya nini mkuu.ni lini na wapi amiri jeshi mkuu amewahi kuwa mstari wa mbele wa mapambano.mmekuwa wajinga wa kupitiliza