assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Ameonya yoyote asihudhurie maandamano hayo ambayo kitengo cha inteligensia kimebaini.
Chanzo: ITV Habari
Chanzo: ITV Habari
Njaa zimekutoa ufahamu ndugu.hayupo wa kuandamana
Njaa zimekutoa ufahamu ndugu.
mimi..hayupo wa kuandamana
Sioni hata sababu ya kufanya maandamano hiyo kesho
Nani kamwambia kesho kuna maandamano. Mwaka huu CCM watatapika nyongo.
Sioni hata sababu ya kufanya maandamano hiyo kesho
piga haooooooo wakaidi
kitengo cha inteligensia
Wasipomtanguliza Joyce Mukya hatuandamani ng'ooooo...!!!!
Wasipomtanguliza Joyce Mukya hatuandamani ng'ooooo...!!!!