JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Jela inawaita hao wajinga.
Mshabikie chagonja and co...ila kinachofanyika sasa ndio kaburi la ccm sio kagonja wa mamunyange anayeweza kuzuia nguvu ya umma sio kwa mitutu wala mabomu raia ni wengi daima kuliko majeshi. yakichanganywa majeshi yote mpaka mgambo wa tz kila mmoja atatakiwa kuwaua raia 164 je ni polisi yupi? mwanajeshi yupi? mgambo yupi? askari magereza au uhamiaji yupi anayeweza kuua idadi yote iyo kwa wakati mmoja??? ni dunia ipi itavumilia mauaji hayo? na mpaka kila askari aue watu wote hao wao watakuwa wamekufa wangapi?? askari gani atakaye ua tanga watu 164 wakati ndugu zake wanakufa mwanza kwa ajili ya amri ya mtu mmoja??? tumeshuhudia mara ngapi askari wa marekani wakijilipua wenyewe kambini na kwingineko kwa kutoridhika na amri ya kuua? ni jela zipi mnaweza kuwaweka watu milioni 5 kati ya watu millioni 48? hao millioni 5 ni idadi ndogo sana yani 20 ya mia na mtaajiri askari magereza wangapi na mtaongeza mahakama na mahakimu wangapi wa kuwahukumu? chezea pesa usichezee amani ndogo kama sio uoga au umuamshe aliye lala. ni angalizo kwako ujifunze kipi si na kipi ni chakushabikia.