Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Paskali acha kutetea ujinga, mbona umekua lipuuzi namna hii? Magufuli anatakiwa ajitokeze sasa, aoneshe njia. Kama u-Rais umemshinda ajiuzulu, apishe wengine wenye ujasiri na weledi katika vita hii.Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Tatizo maneno ni mengi kuliko matendo. Hivi kwa mfano imeshindikana nini kufunga baa na night clubs?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Katika kipindi nimemkubali zitto ni kipindi hiki. Amekuwa mstari wa mbele kuelimisha na kutoa miongozo ambayo ina faida sana kwa taifa dhidi ya hili gonjwa. Nasikitika tuu sio serikali ama viongozi wa serikali mmoja mmoja wanaomuelewaWatu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Umeona eh! Nami nimemkubali. He is smart!Katika kipindi nimemkubali zitto ni kipindi hiki. Amekuwa mstari wa mbele kuelimisha na kutoa miongozo ambayo ina faida sana kwa taifa dhidi ya hili gonjwa. Nasikitika tuu sio serikali ama viongozi wa serikali mmoja mmoja wanaomuelewa
Sasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lakini elimu na mwongozo alioutoa Mseven umeifanya Uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Ameonyesha utu kujali.na kuwa solution oriented. Kipindi hiki amekuwa ni mtu.mwenye solution zaidi kwenye kila changamoto. Kitu ambacho watawala wangekitumia pengine tungekuwa past covid 19 saa hiziUmeona eh! Nami nimemkubali. He is smart!
kutoka 2 april mpka 20 april kuna ongezeko la la 1,170% ( by Zito!)Sasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lkn elimu na mwongozo alioutoa m7 umeifanya uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.
Sasa je tudharau uwajibikaji wa m7? Ona Rwanda Paul is doing very great na ataanza kuingiza wagen very soon see where we are as a nation number of infected people is increasing by double digits.
Do ypu still think it's ok?
exactlyAmeonyesha utu kujali.na kuwa solution oriented. Kipindi hiki amekuwa ni mtu.mwenye solution zaidi kwenye kila changamoto. Kitu ambacho watawala wangekitumia pengine tungekuwa past covid 19 saa hizi
To fight as one wakati wengine wamejificha!Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tunasimamaje pamoja wakati wote tunasubiri kauli ya mtu mmoja tuu kuliokoa taifa letu.Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Mkuu P. Tusimame pamoja katika lipi?? Tusimame pamoja katika maombi? Tusimame pamoja kuficha takwimu sahihi za cases za _19? Naamini mkuu kwa umri wako ulipata mafunzo ya JKT. Hivi ukiwa kwenye mapambano mmoja akihatarisha usalama wenu unasubiri mpaka mwisho ndipo uchukue hatua??Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Sasa huyo rafiki yako mpo pamoja au kakimbia. Uliwahi kuona wapi namba moja anakuwa likizo nchi ikiwa vitani? Au wewe hujui kuwa tupo vitani?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Kwani hukusikia mzee inasema tuna akiba ya kuilisha nchi miezi mingi bila kuzalisha?Kila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli??
Labda watukopeshe lasivyo nchi itafilisikaKila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli??
Unaweza kutafsiri hicho ulichokiandika? Kwangu mimi tafsiri ya ulichosema ni hii: Kwanza umesema tuko kwenye mapambano. Maana yake tuwe na silaha imara ili tushinde pambano. Sasa hapo silaha ni ipi? Zitto kapsema tuwe na bajeti ya dharula. kwangu mimi hiyo ni silaha ya mapambano usemayo.Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Mkuu kama ingekua hivi basi Nyerere ama Churchill wasingeenda front ya vita kuongoza mapambano ya kijeshi ili kuwatia morale wanajeshi wao kisa tu hii principle yako ya serikali inafanya kazi ikiwa popote!!Ni ushamba wa wenu kutokujuwa serikali inafanyaje kazi, sio lazima mtu awe sehumu fulani ndio kazi inaendelea.