Rais yuko safe (at least that is what he thinks).
Rais hana watu wa kumshauri, sidhani hata kama anao huwa anapokea ushauri.
Tuendelee kupambana at personal level, ila at National Level ni tatizo. Imagine hali ilivyo Dar lakini bado watu wanasafiri kwenda mikoani bila kizuizi.
Corona inachukuwa muda mrefu kujitokeza kwenye mwili wa mwanadamu, kama Corona kuingia Tanzania itakuwa imeingia mda mrefu nyuma kuliko April 2020. Hata kama serikali ingefunga border zote baada mgonjwa wa kwanza, case za corona zingekuwepo Tanzania kutokana na dunia ilivyo hivi sasa.Maambukizi kutoka tarehe2/april-20 april ongezeka la wagonjwa ni 1,170%! With this date hakuna lolote llinafanywa la maana
Hata isingehitaji watu wote.Watu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Mkuu uko serious kweli?Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Kuna njia nzuri ya "kuwataja" bila kuwataja.Trust me maamuzi mengi yanatoka humu JF,na sisi kwa sisi tuwajibishane!!!! nina uhakika 100% hili la partial lockdown lilipingwa na wanaJF wengi (tena wengine nakumbuka majina yao)...
Sijui sasa hivi wanawaza nini...ni kwa vile tu JF inazuia kuwataja members wengine..lasivyo leo ningewatajaaaaa woote...mmesababisha ugonjwa huu uenee pumbav.u zenu!!!!!!!!!!
siyo watu, sisi tu matakatakaMaana watu wenyewe(waTanzania) anaowaelimisha ni kama wameziba masikio na wala hawana macho ya kuona.
Kinachofanyika na serikali iliyo makini hakitoshi, ni mchezo mchezo as if tunatibu mlipuko wa malaria!Ukisema hakuna kitu serikali imefanya, ulitaka kuona nini kinafanyika? je hakuna hospitali zinatibu wagonjwa na wengine wapo quarantine? Au ndio mlitaka kuona LOCKDOWN na watu wanateseka kawa kukosa chakula na kipato? Au ulitaka wakulima wasiotumia mvua zilizopo kulima na nchi ingie kwenye janga la njaa huku tukiomba misaada ya chakula kutoka nje?
Kwa muingiliano huu ni kazi mno kufanya personal level, 80% tunategemeana!!
Lockdown hasa ya mkoa kwa mkoa ingesaidia kwa kiasi kuzuia ugonjwa usisambae.
Rejea kwenye Maandiko yako ulikuwa unaunga mkono watu kuendelea kufanya kazi, na kudai Corona ingelipita, Nikakwambia (muda utaongea). Ila sishangai maneno yako kwani wewe ni moja ya wandishi wa Habari wasio jitambua.Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Kwa mara ya kwanza mkuu p umepoteza dira (totally off topic) na hoja ya Zitto....sijui kwanini ila some time nakuamini plz revise your stand and argue like a non partisan journalistZitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Tunasimamia pamoja wapi? Dar, Dom au chato?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tunasimama pamoja tunahitaji kiongozi pia. Sasa kiongozi atakuwa yule yule aliyetufikisha hapa au tunatafuta mwingine wa mudaZitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Kwa hiyo anafanya mapambano yasiyoonekana? Yeye ni mtu asiyejulikana?Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Pamoja na uwingi wao na matumbo yao makubwa sijawahi kuona ushauri wowote wa mbunge au kiongozi wa ccm wote wanaimba mapambio ya mataga tu basiHii tabia ya Rais wetu kujifanya et hawezi fata ushaur wa wapinzani itamkost sana. Na nilichogundua, hawa wapinzani wanampa ishauri mzuri wakijua kabisa kuwa ataupuuza au atajaribu kuact opposite ili wapinzani waonekane hawafai. Kumbe ndyo anapotea njia.
Ref: Sukari, korosho na hivi sasa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutafute wa muda....Tumuondoe huyu tumwite Tundu Lissu atuongoze kwa miezi hii mitano kabla ya uchaguzi....ITAKUA POA SANATunasimama pamoja tunahitaji kiongozi pia,sasa kiongozi atakuwa yule yule aliyetufikisha hapa au tunatafuta mwingine wa muda