Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,408
- 31,393
Hapana! ila usiwaambie watu wachemshe majani kwa muda usiojulikana na kukaa katika mvuke kwa muda usiojulikana. Hatujui wagonjwa wa Asthma na TB wanaruhusiwa au la.1. Hiyo nyungu mbona imeelezwa sana tu na Taasisi ya NIMR, chini ya uongozi shupavu wa Prof. Mgaya, ambaye amenukuliwa kwenye posti kadhaa zilizotangulia? Aah, I get you. Unataka tutumie sauna za mahotelini kwa vile zimetengenezwa mamtoni
Hatujui kati ya majani ya mpapai, au kavumbasi au masuguru ipi ni dose kali.
Prof Mgaya dah ! haelezi indication au contraindication, adverse event au side effect.!
'' Ila sisi'' ni akina nani?Iko namna hii: chanjo hiyo iko vema kabisa, tunajua haina shida yoyote . Ila sisi kwa sasa hatuitaki. Mnaturuhusu kuikataa?