Hivi hukubali kwamba hilo lilitokea?Tuache masikhara: hivi ni kweli unaamini kwamba Watanzania tulipokuwa tukienda hospitalini wakati wa korona, madaktari walikuwa wakituprescribe nyungu, malimau, au tangawizi?
The above was in reply to :Hivi hukubali kwamba hilo lilitokea?
Yale mabanda ya nyungu MNH na Mloganzila yalikuwa ya nani?
Zile Covidol, NIMRcafe zilitengenezwa kwa ajili ya kina nani?
Ile Togwa ya Madagascar iliagizwa kwa ajili ya akina nani?
Waziri wa Afya na Naibu wake si walionekana wakibugia Togwa na mitindi!
Waziri wa Afya si alionekana akipiga nyungu na Mumewe na picha zipo?
Rais wa JMT Marehemu John si alikuwa anasisitiza matumizi ya nyungu!
Waziri Jaffo hakuagiza nyungu, season two na kuoenkana dhahiri shahiri
Haya ulikuwa wapi hukuyaona ?
Kama unadhani ujanja ni ghali jaribu Ushamba
Tuache masikhara: hivi ni kweli unaamini kwamba Watanzania tulipokuwa tukienda hospitalini wakati wa korona, madaktari walikuwa wakituprescribe nyungu, malimau, au tangawizi?
There was no approach! it was a one man show (denial).For anyone looking for objective reality of Tanzania's approach to fight against Coronavirus/COVID-19, can read discombobulation correspondence published in The Lancent Journal HERE.
Mabanda ya kufukiza kwanini yaliwekwa MNH na Mloganzila?The above was in reply to :
Now people who are actually in Tanzania can be the best judges in this whether the doctors in health facilities prescribed to them nyungu, malimau and tangawizi... then can make their own opinions as to the motives of Nguruvi3 in falsely claiming so.
Kufikiri tunachofikiri ni sahihi ni ushamba?Ule ushamba wa kufikiri tunachofikiri ni sahihi ufike mwisho.
Yes kupita haina maana imeondoka. Kumbuka tunazungumzia 'wave' na unajua ni mkunjo wa high and low, ukiwa kati kati huwezi kusema umepita. Ukiwa juu au chini huwezi kusema umepita, ni hadi wimbi liondokeAsante kwa kuzingatia tena kwamba wimbi limepita, na lilikuwa wimbi lingine.
Mkuu , ni namna gani unaitumia sayansi ndilo jambo la muhimu sana.Mkuu Nguruvi3, kama wewe hauko maabara mwenyewe, basi usiwe na 100% ya ukweli kuwa wazi kisa ni Sayansi.
Sayansi inaweza geuzwa kuwa Siasa wakati wowote. Ni hitajio tu linapotokea.
Nilitamani sana kujua ni nini hasa kiko ndani ya hili janga corona. Kwanini mara zote limekuwa kama linacheza mchezo wa kupishana njia?
Chanjo kutozuia Maambukizi,
Kuongezeka kwa Aina, nk yaani kwa namna yoyote linataka tuamini kuwa HALIWEZEKANI.
Kuchukua tahadhari kuna aina mbiliHili ni jambo la muhimu, na naunga mkono hoja ya kuendelea kuchukua tahadhari.
Sayansi inatilia shaka maski. Na sanitaiza. Kutokana na makandokando kwenye tararila za KOVID.Kuchukua tahadhari kuna aina mbili
Moja, kwa watu binafsi kujilinda ( masks, sanitizers etc)
Serikali; kuchukua hatua za dharura. Kwasasa ni muhimu kuzuia watu kutoka India
Sijui kama hatujachelewa!
Kwamba masks zimewekewa virus kama tulivyoaminishwa? ha ha ha ha! Mzungu aweke Virus kwenye Masks?Sayansi inatilia shaka maski. Na sanitaiza. Kutokana na makandokando kwenye tararila za KOVID.
OK, kuna aliyewahi kusema 'waliokwenda nje ndio wamereta hii aina mpya''Kuhusu kuzuia wasafiri kutoka India, hilo siafiki. Acha waje tu.
Kuna nchi wanapimwa airport walipofika na kubaini 30 wana B.1.617. Ni facts siyo hisiaKwenye ndege hawaruhusiwi kupanda mpaka wawe wamepimwa. Na wamevaa maski. Na kisha, natural progression ya mutation ya virii ni kuelekea less virulence. Kama vimemutate, so much the better. Vitakuwalikely less virulent.
Hapana, wala sina nia hiyo. Ni habari tu zipo duniani na watu wanaziona sioni sababu ya kutoandika.Usitutishe!
Unataka tujae hofu in our approach to COVID. Hofu ni mbaya kuliko ugonjwa, nikinukuu maneno yaliyotuset free.