COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

Inashangaza sana na pia inasikitisha sana kuona binadamu mtanzania anawashambulia wamerekani kuwa wao wana vifo vingi walivyoripoti kwenye vyombo vyao vya habari. Kwa teknolojia yao wangeweza kuficha idadi na tusijue ila wanaitangazia dunia kinachowakuta. Kumbuka Corona ni jambo la kidunia, si la ki inchi. Haikuanzia TZ ila leo inatuvalisha barakoa.
 
Mnaangaika kuokoteza upuuzi, wakumbushe kuwa kwao jana ndo wamepata namba ndogo ya vifo, vipo 1000 tuu. Eti Dar ina kiwango kikubwa cha Corona, New York vipi?.. Saa nyingine mnawapa bichwa hawa American Embassy, haka kacorona kwao kamewatoa knock out.
Wenzako wana population ya 350m wewe Dar una 6m vifo zaidi ya 1000 piga asilimia.Nyie vigo 2000 nchi mzima estimate population ya 55m pigs asilimia kama wewe sio uko kwa shimo.Halafu yeye kasema the hospital is overwhelmed
Tupambane na ya kwetu
 
Inashangaza sana na pia inasikitisha sana kuona binadamu mtanzania anawashambulia wamerekani kuwa wao wana vifo vingi walivyoripoti kwenye vyombo vyao vya habari. Kwa teknolojia yao wangeweza kuficha idadi na tusijue ila wanaitangazia dunia kinachowakuta. Kumbuka Corona ni jambo la kidunia, si la ki inchi. Haikuanzia TZ ila leo inatuvalisha barakoa.
Acheni kujipa moyo wa kinga.Corona inaua jikinge
 
Wape pole wamarekani wana vifo zaidi ya Elfu 80(80,000++) na cases zaidi ya milioni 1(1,000,000++), halafu wanakuja kuwapa warning raia wao wa Tanzania eti wakae ndani, na Nyumbu wanaona wamepewa point!?, Jifunzeni kujiamini, Marekani sio kila kitu kwenye Corona kachemka vibaya. Huwa najiuliza Corona ingekuwa East Africa peke yake ingekuwaje?, Si upinzani mngekimbilia Marekani kuwaambia serikali itawamaliza kwa Corona na kuandika barua kibao!?. Ila Mungu sio athumani.
Mbona malaria iko tanzania na Marekani haipo kwani wanawachukuliaje ??? Logic yako ni ipi kwani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu angalia hapo neno USA.
ALAFU SOMA DATA ZAKE.
Tuliwaambia Jiwe hafai, hamkuelewa. Sasa hata watu wa mbali wanaona tatizo, ninyi wenzetu bado hamuoni. Kweli love is blind
Screenshot_20200513-004356.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwaambia Jiwe hafai, hamkuelewa. Sasa hata watu wa mbali wanaona tatizo, ninyi wenzetu bado hamuoni. Kweli love is blind
That's not love but stupidity of the highest order found only in Tanzania. Fools in high places have made our country and its people a laughing stock while stupidly themselves holing in places unknown thinking the disease will not find them. Wajifukize, wanywe kikombe cha Babu wa Loliondo au juju toka Madagascar, Tanzanians will be better off without the bustards on this earth. They deserve to be already 2 meters under the surface of the earth!
 
Ndio hivyo sasa. Repatriation or not, hospitali ya Amana ina ventilator moja, kila mtu ashinde mechi zake otherwise tunakwenda mawinguni kumpokea Yesu yaani. Pamoja na mipango yako mingi, kaburi linakusubiri. Chickens coming home to roost. Enjoy yaani,
 
Mnaangaika kuokoteza upuuzi, wakumbushe kuwa kwao jana ndo wamepata namba ndogo ya vifo, vipo 1000 tuu. Eti Dar ina kiwango kikubwa cha Corona, New York vipi?.. Saa nyingine mnawapa bichwa hawa American Embassy, haka kacorona kwao kamewatoa knock out.
Kwani kwao wanaficha kama nyie,si wanaweka data wazi kwa public

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom