COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

Wape pole wamarekani wana vifo zaidi ya Elfu 80(80,000++) na cases zaidi ya milioni 1(1,000,000++), halafu wanakuja kuwapa warning raia wao wa Tanzania eti wakae ndani, na Nyumbu wanaona wamepewa point!?, Jifunzeni kujiamini, Marekani sio kila kitu kwenye Corona kachemka vibaya. Huwa najiuliza Corona ingekuwa East Africa peke yake ingekuwaje?, Si upinzani mngekimbilia Marekani kuwaambia serikali itawamaliza kwa Corona na kuandika barua kibao!?. Ila Mungu sio athumani.
Kama hizo habari siyo za kweli, why panic?
 
Lakini kwanini mr DT alikimbia lile swali aliloulizwa na yule mwanahabari mwanamke na mwisho akasusa kabisa ?
Ila hata kabla ya Corona walishachukua raia wao,hawa nadhani ni wale ambao hawakua na nauli itakuwa wameshatumiwa.
Hilo swali linahusiana na corona iliyoko Dar?
 
Kama hizo habari siyo za kweli, why panic?
Mkuu hakuna aliyepanic soma uelewe,hizo zao ndo za kweli. Za hapa wanabahatisha ndo maana wanadai mara ya mwisho walipewa takwimu tarehe 29/4. Na wanaweza wasipewe tena tuone kama watajifungia mpaka January 2021. Nimeshasema humu ukikaa humu unasoma JF, waweza kudhani watanzania wote Wana Corona kumbe propaganda tu.
 
Unadhani hawatajifungia? Watafanya hivyo kwa raha zao, hasara kwa nani?
 
Hiyo alert hata nchi zingine ipo ukifuatilia.Hakuna mtu aliyekatazwa kujiweka lockdown,ni uamuzi wako tu
 
Wape pole wamarekani wana vifo zaidi ya Elfu 80(80,000++) na cases zaidi ya milioni 1(1,000,000++), halafu wanakuja kuwapa warning raia wao wa Tanzania eti wakae ndani, na Nyumbu wanaona wamepewa point!?, Jifunzeni kujiamini, Marekani sio kila kitu kwenye Corona kachemka vibaya. Huwa najiuliza Corona ingekuwa East Africa peke yake ingekuwaje?, Si upinzani mngekimbilia Marekani kuwaambia serikali itawamaliza kwa Corona na kuandika barua kibao!?. Ila Mungu sio athumani.
Naona unajitanua sana wakati ukijifanya hoja ya msingi huijui.

Marekani hajaficha. Hafanyi siri.

Bado unaamini wewe na Marekani mpo sawa? Utakuwa umepungukiwa kichwani.
 
Kwanini alikimbia lile swali ?
 
Wape pole wamarekani wana vifo zaidi ya Elfu 80(80,000++) na cases zaidi ya milioni 1(1,000,000++), halafu wanakuja kuwapa warning raia wao wa Tanzania eti wakae ndani, na Nyumbu wanaona wamepewa point!?, Jifunzeni kujiamini, Marekani sio kila kitu kwenye Corona kachemka vibaya. Huwa najiuliza Corona ingekuwa East Africa peke yake ingekuwaje?, Si upinzani mngekimbilia Marekani kuwaambia serikali itawamaliza kwa Corona na kuandika barua kibao!?. Ila Mungu sio athumani.
Wewe unazo ngapi?
 
Back
Top Bottom