COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

Mnaangaika kuokoteza upuuzi, wakumbushe kuwa kwao jana ndo wamepata namba ndogo ya vifo, vipo 1000 tuu. Eti Dar ina kiwango kikubwa cha Corona, New York vipi?.. Saa nyingine mnawapa bichwa hawa American Embassy, haka kacorona kwao kamewatoa knock out.
Kwani wamesema kwamba huko kwao hali ni nzuri?.........Kikubwa ni ku-alert watu kutokana na hali halisi iliyopo mkuu
 
Hakuna jipya,hapo
Kwao juzi.wamekufa watu 10,000 kwa siku mbili,sisi kwetu hospitali za corona ni maalum si kila hospitali tu kama wanavyotaka kuwaaminisha watu
US wapo 331m, wakifa 10,000 ni sawa na 0.003%.

Hata hivyo kifo cha mtu mmoja ni pigo kubwa sana, ndio maana wanahangaika usiku na mchana kutafuta solution.

Kwenye nchi ya kusadikika zigo wameachiwa health workers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau mmefungua utalii, Taifa linalileta watalii wengi sana nchi hii ni Marekani.

Hiyo travel alert ina matokeo mabaya kwenye utalii wenu.

Ni ujinga na utaahira kutaka kujulinganisha na Marekani eti vifo, wao hata kama wana vifo vingi jambo lolote watakalolifanha lina matokeo mabaya au mazuri Tanzania.

Usishau bajeti ya ukiwmi, malaria, fistula, sijui magonjwa gani wao ndio wanatoa kwa zaidi ya 80%.

Hao ndio wanaokulisha. Serikali yako kila siku inakimbia kukopa hua inakopa imf au wb ambayo mwenye maamuzi makubwa ni yeye marekani.

Ni ujinga kutaka kujilinganisha nao.
Sijui kwa nini awamu hii tumevimba vichwa kiasi hiki
 
US wapo 331m, wakifa 10,000 ni sawa na 0.003%.

Hata hivyo kifo cha mtu mmoja ni pigo kubwa sana, ndio maana wanahangaika usiku na mchana kutafuta solution.

Kwenye nchi ya kusadikika zigo wameachiwa health workers

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE

Kama wapo 331 na vifo zaidi ya 80000 elfu, na sisi tupo watu 60000elfu vifo tufanye 256 ambavyo mnarukaruka na taarifa za uongo, sasa gawa hivyo vifo kwao na sisi kwa idadi uanyotaka wewe kisha useme nani amelinda watu wake kama sio sisi maana hatuna fedha kama wao, wao kifedha hatuwafikii na kila kitu wanacho, sasa nani hakulinda watu wake?
 
Usisahau mmefungua utalii, Taifa linalileta watalii wengi sana nchi hii ni Marekani.

Hiyo travel alert ina matokeo mabaya kwenye utalii wenu.

Ni ujinga na utaahira kutaka kujulinganisha na Marekani eti vifo, wao hata kama wana vifo vingi jambo lolote watakalolifanha lina matokeo mabaya au mazuri Tanzania.

Usishau bajeti ya ukiwmi, malaria, fistula, sijui magonjwa gani wao ndio wanatoa kwa zaidi ya 80%.

Hao ndio wanaokulisha. Serikali yako kila siku inakimbia kukopa hua inakopa imf au wb ambayo mwenye maamuzi makubwa ni yeye marekani.

Ni ujinga kutaka kujilinganisha nao.
Kuna nchi inafanya utalii sasa hivi?

Duh.. Kumbe ujinga ni kipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaangaika kuokoteza upuuzi, wakumbushe kuwa kwao jana ndo wamepata namba ndogo ya vifo, vipo 1000 tuu. Eti Dar ina kiwango kikubwa cha Corona, New York vipi?.. Saa nyingine mnawapa bichwa hawa American Embassy, haka kacorona kwao kamewatoa knock out.
Wafukuzeni kama mna ubavu. Wehu nyie
 
Alafu na Mungu anapishilia mbali Hilo wazo lako Kisha unajiona lofa kwa kufikiria vitu vya kipumbavu

Tz nch ya democracy haitumii nguvu kumuweka karantin mtu mwenyewe kwa uelewa wako utakaa ndani na kipato chako

kilicho akilini kitumie
Mungu aliyeletewa na mabeberu ndiyo unamuongelea? alikwambia anachokifanya au unamuongelea?
Na aliyesema watu wawekwe quarantine nani? hahaha mbona unanijazia maneno we kilaza?
Kila kitu mungu mungu utadhani ulishawahi kumuona, mungu wa mabeberu umemkubali, simu zao umezikubali, kila kitu wanacholeta umekikubali unatumia leo unajifanya mjanja njia wanazokwambia za kujilinda na covid unajifanya unajua zaidi? haha tahira kabisa, haujakaribia level yangu kaa mbali stupid
 
Sipigizani kelele na mtoto wa mama subiri shule zifunguliwe urudi shule ukiwa na akil timamu ndio utajua propaganda za kizungu zilivyo kwa umri wako Bado sana

kilicho akilini kitumie
 
Ukiona mwezako ananyolewa zako tia maji, unashangaa marekani kesi milioni, subiri Tanzania zikianza kupamba moto unaweza tamani ungeishi marekani, kwa kua wameficha hawatangazi vifo unahisi tuko pazuri hahaha, pole sana, we endelea kuzembea utashangaa kaukoo kazima kanapotea kwa korona ndo ushike adabu, hii kitu sio ya kuichezea kama tunavyofanya Tanzania
Nyie jamaa wajinga sana, mnasikiliza huo upupu wa US eti hospitali zimejaa?, Nyie si ndo mlisema April ndo Corona itapamba moto Dar?,baadae mkabadili na kusema May tutaokota maiti barabarani santuri yenu ikisindikizwa na WHO?, Hizo maiti ziko wapi?, acheni upumbavu wenu wa kutiana ujinga mitandaoni. Corona ndo inapotea hivyo. Imebaki FB na Jamii Forums.
 
Kuindesha nchi kubwa Kama Marekani bila unafiq haiwezekani.Wao Wana maanisha Tanzania ina vifo vingi na wagonjwa wengi kuliko
Marekani,ndio maana Wana wahimiza raia wao waliobaki waondoke. Ubalozi wao ulisha wakodia ndege wakaondoka sasa walioamua kubaki wao binafsi waliona Tanzania ni sehemu salama kuliko kwao. Hivi sasa wanajaribu kulazimisha/ kuwatisha waliobaki ilinao waingie mchecheto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina achana nalo,cha muhimu jikinge na C19 ndio namaanisha .Mbona lugha rahisi sana
Haupo makini kutazama ni nani unamjibu na kwa nn maana sielewi kwann unanipa mm angalizo la kujikinga, embu hakiki kama ni mm ulitaka kunipa hilo jibu. ANYWAYS NAJIKINGA NA PIA FAMILIA YANGU IPO LOCKDOWN TANGU JANGA LIANZE HATUKUSUBIRI TANGAZO KUWA HALI NI MBAYA.
 
Nyie jamaa wajinga sana, mnasikiliza huo upupu wa US eti hospitali zimejaa?, Nyie si ndo mlisema April ndo Corona itapamba moto Dar?,baadae mkabadili na kusema May tutaokota maiti barabarani santuri yenu ikisindikizwa na WHO?, Hizo maiti ziko wapi?, acheni upumbavu wenu wa kutiana ujinga mitandaoni. Corona ndo inapotea hivyo. Imebaki FB na Jamii Forums.
Naona umedandia train kwa mbele, siijaongelea chochote kuhusu maiti, pumbavu ni wewe na bibi yako.
Mimi nimemuonya aliyesema korona haipo kumwambia awe makini tusikae tunawacheki USA huku hali yetu inaweza badilika muda wowote ule ikawa mbaya, wapi umeona nimeandika vifo viimiejaa barabarani? nyoko, muwe mnasoma mnamaliza na hakikisha umeelewa kabla ya kujibu ushenzi na matusi juu, unadhani matusi mimi siyajui?
 
Punguza u.senge kichwani basi.
 
Sasa matusi ya nini we **** unaishi kwa mama yako?
Nina nyumba huku nje, Tanzania nina nyumba nne Dar es salaam na moja Mwanza na sio za mkopo zote nimetoa hela mfukoni, wewe una nini? Aliyekuja na matusi kwanza si wewe hapo? naona yamekuuma nyoko
 
Back
Top Bottom