Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 209
- Thread starter
- #21
kozi nyepesi haiitaji msuli mkubwa...kozi 6 kwa semista..ushindwe mwenyewe. Karibu SAUT...
Kozi 6 kwa kila semister mkuu?
kozi nyepesi haiitaji msuli mkubwa...kozi 6 kwa semista..ushindwe mwenyewe. Karibu SAUT...
Mwanaume mzima unaenda kusoma sociology,huoni hata aibu?
Kwa nin hunishauri kusoma sociology mkuu?nipe sababu ili niridhike
Acheni dharau zenu nyie
sociology haina ajira labda usome UDSM ndio utapata ajira
Sasa akisoma udsm itabadilika na kuwa sio sociology tena?
hata akisoma Harvard itabaki kuwa sociology tu
sociology haina ajira labda usome UDSM ndio utapata ajira
Nina jamaa zangu 2 wamesoma kozi hiyo walipomaliza wakakosa ajira mpaka sasa mmoja anajitolea kufundisha private schools mwingine haeleweki hata ana issue gani kazi kutupiga mizinga tu kila akisikia salary imetoka.Hivyo kama una connector wa kufanya njia we kasome ILA AJIRA ZAKE NI HABA NA ADIMU
sociology haina ajira labda usome UDSM ndio utapata ajira
Sasa mkitoa hiyo mifano ya walokosa kazi na sisi tukitoa ya wale tunaowajua waluipata kazi tena me nawajua wa tatu .... Hapo tutafika conclusion
Mind you kuna waliosoma linguistic na peforming art sasa ni ma bank teller na kuna waliosoma bank and finance na kufaulu ila wapo kitaa hii nikumaanisha kusoma cozi fulani sio guarantee ya ajira nowdays wanaangalia unauwezo gani wa kudeliver ulichonacho kichwani.
Vp kuhusu msuli wake hapo mkuu?
He is static,he will end up making a western oriented arm-chair type!!!!
HRM, SOCIOLOGY, PSPA, PA, even LLB kwa sasa wanashare kazi nyingi. ni kazi chache sana ambazo wanataka particular degree programme. me nilisoma PSPA, mwaka jana watu wa CRDB waka-invite graduates wa social sciences wenye GPA ya kuanzia 3.5 wapeleke CV zao pale crdb UDSM. cha ajabu watu wa UDBS ambao ndio taaluma yao mambo ya fedha hawakuruhusiwa.
hitimisho ni kwamba, jukumu la mwanafunzi ni kusoma bila kuangalia changamoto yoyote kama vile tatizo la ajira, kwa kuwa tatizo hilo ni la kimfumo
course yoyote ile yaweza kubadilisha maisha yako
always work and perform at your maximum level