Course ya sociology SAUT

Course ya sociology SAUT

Ubora wa chuo unakuwaje? Kama chuo ni bora ila kichwa chako sio bora hicho chuo chako kitakusaidia nini zaidi ya kudisco tu na kuishia kusema ulisomaga chuo fulani... Nenda kasome wewe hakuna chuo bora ila kuna kichwa bora.

Point!
 
Is using western thinking to address our problems an evil? Kipi tunachokisoma na kukifanya ambacho hakina roots from the west? Stop being fallacious bwana mdogo


Sent from my iPhone using JamiiForums


Basi unatetea usichokijua....huko Sociology kuna avenue wanaita Eastern ya akina Marx na wengine wanaoamini kuna Western Sociology inayotetea Capitalism na ndio wanaitwa arm chair sociologists hao Westerners na walibatizwa baada ya Structural Functionalism...................!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi mwanamke akienda kusoma civil engineer au mechanical engineer mnawashangaa hivi kusema mwanamke mzima unasoma civil au mech au geology au telecom.. iweje kwa wanaume mbona mnadharau as if wanawake tu ndo wanaweza kusoma mambo hayo na wanaume hawastahili kusoma hizo kozi.
Kwa sasa mtu wa sociology anasoko kubwa sana matasisi mengi sasa yanawataka hawa watu kuwa makini unaposhauri kitu kama ichi wew
 
Back
Top Bottom