Umenikwaza!! njoo chumbani huku nikwambie mamiii!kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Bado nitaendelea.......
Pearl, hiki kiapo kimetulia, nimeipenda sehemu iliyo-fadebasi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
Hureeeeeeeeeeee!!!
At last!..
Nitakununulia ndege!(sio njiwa)
Nitakujengea gorofa
Nitakupeleka ughaibuni!
Si unaona...hata Mwanakijiji hawezi hii maneno!
Masaki and bht
nawaonaga huku ndani wana interaction nzuri sana, wanaweza kuwa wenzi wazuri sana hawa
BWABWA na NYIVONDUMAR
CHEUSI MANGARA NA MASANILO
ICU NA MWAKITAKOTAKO
PRETA NA MWAKIPUMBU
BWABWA na NYIVONDUMAR
CHEUSI MANGARA NA MASANILO
ICU NA MWAKITAKOTAKO
PRETA NA MWAKIPUMBU
Perfect couple...😀😀
Wanafaa sana hawa!
Couple zilizopendekezwa mkishabanjuana mtuambie Tuanze Michango
BWABWA na NYIVONDUMAR
CHEUSI MANGARA NA MASANILO
ICU NA MWAKITAKOTAKO
PRETA NA MWAKIPUMBU
Niko tayari!basi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
'Kwa niaba ya wana jei efu wote' namchukua Egyps Women.
Kwa niaba nyingine naomba Ktk harusi yetu FL1 na shemeji wawe wasimamiz wa harusi yetu. (If u no wor ai miin).
Samahani kama sijakwaza mtu!
ha ha ha bibie jamaa akisoma hapo atakwazika!!aaaah ICU nitake radhi, umenikwaza......hiyo interaction ya sana na mimi na huyo jamaa iko wapi bana.......huyo hata ukinipa afu uniongezee na vijisenti staki!!!!!!!!!!!!!!!
Umenikwaza!! njoo chumbani huku nikwambie mamiii!
Masaki and bht
nawaonaga huku ndani wana interaction nzuri sana, wanaweza kuwa wenzi wazuri sana hawa
basi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
ha ha ha bibie jamaa akisoma hapo atakwazika!!
hata mimi nilikwazika on your behalf binamu haaaa!!! voda to voda au inakuwaje???
Sikujua Ndugu yangu MasakiICU unamfahamu Balantanda au unamsikia? Utadundwa, shauri yako!