Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Kwa hiyo huu ndio ujumbe kuwa umemwacha Solemba? Na alivyokuwa anajidahi? mbona atakuwa mdogo!teh teh! una mambo binti wewe.Mie yangu mackio na macho ya kuangalia screen.jamani akili kichwani ni mlokole si mwaji wa valuu wala mzee ya totozzzzzz,naona presssure inapanda pressure inashuka!
ah wapi awajamatch kabisa yani yani hapo ni mcharuko kwakwenda mbele
sidhani kama anaweza kumsaliti ndugu yake
PJ geuka basi tukuone vizuri, pearl u are pretty.Yeah! Couple of the Year!
Invizibo na Bht!
mi simo!kwa jinsi avanta ilivyotulia lazima mapinduzi yafanyike labda kama mtarimbo umelala doro😀😀
mtasema mchana eeeeeeeeeeeeeh
hii inakukomaza ili ukikutana nao mtaani ambako huwezi kuzuia kukutana nao,uone ni vi2 vya kawaida.cheusimangala hiyo avatar yako hainikwazi hata kidogo, ila tu inanitia majaribuni!
Sasa majaribu sio mazuri hasa kipindi hiki cha kwaresima!
Hureeeeeeeeeeee!!!
At last!..
Nitakununulia ndege!(sio njiwa)
Nitakujengea gorofa
Nitakupeleka ughaibuni!
Si unaona...hata Mwanakijiji hawezi hii maneno!
Masaki and bhtYeah! Couple of the Year!
hahaa pearl kiapo naona umeki-adjust kidoogobasi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
si vyema kufanya hivyohumo ww ndo mlengwa kavp gonganisha magari
Hayaaa, Nguli Mkuu angalia husije fungisha ndoa za jinsia moja..hahahahahaBWABWA na NYIVONDUMAR
CHEUSI MANGARA NA MASANILO
ICU NA MWAKITAKOTAKO
PRETA NA MWAKIPUMBU