Couples za JF ni hizi...!

Kabakabana
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that

Excellent

Preta acha kulazimisha ndoa,hilo jina la Kabakabana unaona limekaaje...mbona kama jinsia mbili

Kanusha kwanza hapo juu........
 
ina maana ndo nimekosa kabisa? ngoja nikaoge nivae na suti labda ntapata.
 
Kanusha kwanza hapo juu........
Dah! Kamshiki kangu kapelelezi kinoma.

Baada ya kusema hayo, natangaza rasmi kuifunga hii sredi mpaka mwakani tarehe na siku kama ya leo.

Baada ya kusema hayo, narudi kitandani kumuota bibi yenu.
 
Dah! Kamshiki kangu kapelelezi kinoma.

Baada ya kusema hayo, natangaza rasmi kuifunga hii sredi mpaka mwakani tarehe na siku kama ya leo.

Baada ya kusema hayo, narudi kitandani kumuota bibi yenu.

sredi haifungwi wala nini.......hapa kila namba lazima ienee......
 
Dah! Kamshiki kangu kapelelezi kinoma.

Baada ya kusema hayo, natangaza rasmi kuifunga hii sredi mpaka mwakani tarehe na siku kama ya leo.

Baada ya kusema hayo, narudi kitandani kumuota bibi yenu.

Kakupa nani mamlaka kuifunga jamani wewe babu?

Iendelee tafadhali.
 
Kakupa nani mamlaka kuifunga jamani wewe babu?

Iendelee tafadhali.
Orayt.......... we ushapata wa kwako?

Kama bado ODM niko na nguvu ya kumiliki hata watatu. Karibu!
PM inbox iko wazi kwa mawasiliano zaidi
Karibu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…