Dada nimekuchagulia mume
Ashadii +Mafiakisiwani=wote mnaonesha ni waumini wa dini moja.Nalog off
dahhhhhh
itabidi Kaizer aanze kuchngamka dear ..
uzuri kama huo kuupata tena ni kazi kwa kweli loohh
au ndo yale ya "Hall Pass" Preta ameona hiyo movie pia 🙂
Usijali AD, Afro D knows w're just kidding hereMzima Mpenzi, wee upo na nani vile??
Man!!! What exactly are you asking?? Hujui AD anapita hapa?? lol
Usijali AD, Afro D knows w're just kidding here
Washawasha nitake radhi... I do have a Man, And I LOVE him.... and believe he LOVES me too....
Huyo jamma hata sijawahi msikia... Umeniudhi.... Na log off! lolz
Naomba unisamehe bi dada,sikuwa na nia mbaya,mie sikujua kama ushaolewa na mwanaume wa kiume, mie baada ya kuona avatar ya kiarabu nikajua jamaa katoka Libya kwahiyo atakuwa na full fedhwa alizoziacha Gadhafi.Nalog offWashawasha nitake radhi... I do have a Man, And I LOVE him.... and believe he LOVES me too....
Huyo jamma hata sijawahi msikia... Umeniudhi.... Na log off! lolz
nafikiri jamaa mwenyewe ndiye huyu.Nalog offHujambo Bibie?
Ai wewe nawe acha kutoa siri za ndani
Hujambo Bibie?
nafikiri jamaa mwenyewe ndiye huyu.Nalog off
Naomba unisamehe bi dada,sikuwa na nia mbaya,mie sikujua kama ushaolewa na mwanaume wa kiume, mie baada ya kuona avatar ya kiarabu nikajua jamaa katoka Libya kwahiyo atakuwa na full fedhwa alizoziacha Gadhafi.Nalog off
Wee Dreamliner... Where have you been?? Usharudi bagamoyo kwa Kalmanzira?? lol (umempata nani??) lolz
Mambo mswano,pole sana kwa kupigwa chini ndio ukubwa huo usijali wala nini ,mapenzi kiti cha daladala ukishuka wenzio wanakaa,tafuta my girlfriend wako mpya ambaye utampenda kwa moyo wako wote.Nalog offMzee wa NALOG OFF mambo niaje? Hapo nilishapigwa chini... Nasalimia tu, Baba...
Mzee wa NALOG OFF mambo niaje? Hapo nilishapigwa chini... Nasalimia tu, Baba...
Nimerudi na RADI tatu, kila moja shilingi 500/=.. Naangalia ni nani wa kumlipua nayo... Subiri..
jamaa naogopa hata kuongea naye kwa hicho kiarabu cha kwenye avatar,inaonesha kiswahili bado hakijui,ila usihofu shem akikutenda rudi nyumbani, baba bado hajapangisha kile chumba chako,halafu kwa taratibu unaweza kukumbuka makoloni yako kama kina Dreamliner na wengineo.Nalog offWashawasha wee ambae unakimbia kwa ku-log off hata pasipokimbilika... I know you meant no harm....lol... Nipe sifa za jamaa, naweza mfuata incase nikitendwa huku.....
Dreamliner nilikupiga chini wapi?? wee you found i belong to someone tayari... lol
Dah! Namuonea huruma litalomwangukia aisee.... Best of Luck, na nitahitaji feedback.... Sweetie Kaizer atafurahi nikimuambia leo tumeonana... Hivo naomba utume salam nimpelekee....
jamaa naogopa hata kuongea naye kwa hicho kiarabu cha kwenye avatar,inaonesha kiswahili bado hakijui,ila usihofu shem akikutenda rudi nyumbani, baba bado hajapangisha kile chumba chako,halafu kwa taratibu unaweza kukumbuka makoloni yako kama kina Dreamliner na wengineo.Nalog off
Nalog off.
atakae jaribu kuniingilia na laazizi wangu REJAO nitam......
Laziz wangu...ndio nimeibuka toka mafichoni! hebu niambie nani leo kakubugudhi hapa jamvini nianze kumshughulikia!sio kuendana tu ndetichia,bali REJAO ndo baba wa watoto watu!
Habari ya JUBA Bibie...