Tafadhali nitake radhi.naanza kuhesabu 5,4.........
Mie sio Yanga,siwezi kuwa timu ya walioshindwa.Mie siku zote nakuwa timu ya washindi.Kwa kifupi hata Toto afrika wakitwaa kombe basi nitakuwa Toto afrika.
:tape::tape::tape::tape: Mmmmmhhhhh mi sisemi
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):
na wengine weengi walioorodheshwa!
Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...
Yaani mimi Preta kanikamata mbaya hata simchoki I wish nimwone maeneo ya fukwe za mbezi anaonekana ni bonge la Lady na mwelewa. Ila siwezi kuwa naye maana ntampenda kupitiliza nikawa Bushoke then akantesa
naona hii thread tuiupdate....mambo yameongezeka humu jukwaani......hali ni tete kiujumla
:tape::tape::tape::tape: Mmmmmhhhhh mi sisemi
ahahahahaha mama kubwa.....sema tu banaa..:tape::tape::tape::tape: Mmmmmhhhhh mi sisemi
Katavi na Birigita
njoo twende Soweto wewe
kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)
Masanilo + Annina (mbona bibie atajiju)
Bado nitaendelea.......
Thanx God Masanilo sasa ni Rev...
Annina