Couples za JF ni hizi...!

Ulishawahi fanya kazi Urafiki? kama siyo hayo maneno wakiyaona unaweza pata dili.

Chana nywele hata kama una kipara!

ha ha ha......hapa ndio huwa nakunaniliu kaka yangu...pata coke I mean valuu kwa bili yangu
 
Ulishawahi fanya kazi Urafiki? kama siyo hayo maneno wakiyaona unaweza pata dili.

Chana nywele hata kama una kipara!
you can say that again biggy....

hee kumbe B kipaji....
 
Kila navyoendelea kusoma hii post naona mabinamu mifuko imetoboka eeh?poleni weekend spesho
 
Kila navyoendelea kusoma hii post naona mabinamu mifuko imetoboka eeh?poleni weekend spesho
HAKYANANI, hawa leo wako bila-bila!
XPIN HERE-This tym?...huh!
Hivi leo tarehe ngapi mwenye jibuπŸ˜•
 
Hivi kwani kunywa supu ni lazima uwe ulifakamia bia?
Mbona mi hata nikipiga MALTA ni lazima supu asubuhi😑
yani PJ unaweza toka asubuhi asubuhi unawahi Keni bar au Florida kuwahi supu huku jana yake uliweka nanihii aka Malta?

kama ulikamata malta, unatakiwa unywe uji wa ulezi kabisa asubuhi, ndo vinafanana
 
ohoo,kumbe ndo maana uliniunganisha kwenye hii fani mkuu,kumbe fani yako eeeh,lol
Sina fani, lakini mara nyingi napata fani nikiwa kwenye bapa la pili hivi.
 
HAKYANANI, hawa leo wako bila-bila!
XPIN HERE-This tym?...huh!
Hivi leo tarehe ngapi mwenye jibuπŸ˜•

Aaah umeme wa mgao kwa hiyo bia bado hazipata ubaridi wa kutosha! Tunavuta muda!
 
yani PJ unaweza toka asubuhi asubuhi unawahi Keni bar au Florida kuwahi supu huku jana yake uliweka nanihii aka Malta?

kama ulikamata malta, unatakiwa unywe uji wa ulezi kabisa asubuhi, ndo vinafanana

Hakuna hii maneno mkuu, mi napiga supu kama juzi tu!
Nani aliyekwambia MALTA inakwenda na uji!---Mkuu wacha kudhalilisha vinywaji vya wenzio bana!...Mi nikipiga Malta 3 naanza kupoteza mawasiliano!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…