Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,185
couple zinazotajwa ngoja ke nizizamie pm nione kama zina uaminifu.
umetuonaaaa sisi watotoooo....jikaze kijanaaa.....Inaa ysijibu jibu maswali ambayo hayana miguu wala kichwa wanakuzingua hao watoto.
Ah ah ah ah ah ahSitaki tena mitongozo ya JF, niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michellin sina hamu.
![]()
take easy mamaUtampata tu vuta subraJina langu bayaaaaa sipati partner.
Mkuu wa kitengo kaniachia mikoba..
Ila hawa utawaweza huwa wananitaja kwenye sifa mbaya mbaya tu nzuri mnatajwa nyie.
Hahah....haya bwana nitakupigia nitakupigia.Ha ha ha, mkuu mi sina neno, unajua vitengo vya back office hatupewi sifa kama nyie wa front office.
na marupurupu kama hayo yanaangukia kwenu, itabidi tufanye rotation aisee.
Mbona upo kinyonge sanaAaaa hamn kitu
Wewe na Nani.....??Angel Nylon na.....
bas na thithi tuwe coupleNa mimi pia...😛

Siamini kama dada yangu Nifah ananiona mimi hater......







kumbeeee!Mimi ni dada mkubwa usiwe na hofu.
Hujambo shemdarling?Stunter and jj,e
CHIKIRA MTABARI na KishaijaNgoja nione mi ntatajwa niko na nani
Wee usiseme hadharani kaka ake nipo apa kama mrithiHiyo couple ilishavunjika