Mimi hadi namaliza form four sijawahi kuwa na mahusiano kabisa wala kutamani
Hongera mkuuu, Mimi mahusiano nimeyaanza miaka niliyokaribia kumaliza chuo.2013
Hongera kwa kujitunzaHongera mkuuu, Mimi mahusiano nimeyaanza miaka niliyokaribia kumaliza chuo.
Wewe kipindi hiko kuna jamaa alikuwa ananitongoza halafu namtolea nnje hadi alikuwa anatambaa kwa magotiSi useme tu hujawahi kutongozwa miaka minne yote
Nipo hapa tafadhaliStory ndefu nilimzimkiaga kijana mmoja hivii nilikuwa namuona mzuri dunia nzima hata sijui ilikuwaje nishagamsahau
Nipo hapa tafadhali
Turudishe yale mapenzi yetu
Aisee[emoji1][emoji1][emoji1]Toka mwajuma alivyonisaliti kwa maandazi mawili ya hasani
Kipindi nipo la tatu sijawahi penda tena
Nyie mabint wa girls tupu mlkua mnajikuta watakatifu sanaTuliosoma girls tupu na wale wa uboyizini tunacomment wapi?
Kutengeneza couple ni kipaji [emoji1][emoji1][emoji1], kwa kumbukumbu zangu mahusiano marefu zaidi nliyowahi yaishi ni 3weeks[emoji23][emoji23].. hua paka nakaa chini najiuliza "how do they do this"Tuliosoma girls tupu na wale wa uboyizini tunacomment wapi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] paradiso poa kabisa, yaani nimekuja kuinteract na wakaka chuo dooh, nilipata shida mwanzoni full aibuu, ila nyie Wa mixer full kujiachia mnajidai mna experience[emoji16]Nyie mabint wa girls tupu mlkua mnajikuta watakatifu sana
Anyway mambo yanaendaje hapo paradiso
Mmmh, polee imekuathiri till now, Mwenyewe ilikua changamoto kuwazoea wakaka aisee,nakumbuka tulienda jeshini Kwa mujibu Wa sheria ndyo nikakutana na wakaka, ile mnakaa nao pamoja na vibukta vifupi yaani,full aibuuKutengeneza couple ni kipaji [emoji1][emoji1][emoji1], kwa kumbukumbu zangu mahusiano marefu zaidi nliyowahi yaishi ni 3weeks[emoji23][emoji23].. hua paka nakaa chini najiuliza "how do they do this"
99.999% ya maisha yangu paka leo nimeishi nikiwa single[emoji1][emoji1][emoji1]
Napenda kujua mwaka gani na kambi gani?Mmmh, polee imekuathiri till now, Mwenyewe ilikua changamoto kuwazoea wakaka aisee,nakumbuka tulienda jeshini Kwa mujibu Wa sheria ndyo nikakutana na wakaka, ile mnakaa nao pamoja na vibukta vifupi yaani,full aibuu
Wewe kipindi hiko kuna jamaa alikuwa ananitongoza halafu namtolea nnje hadi alikuwa anatambaa kwa magoti
Asante mkuu, nahisi ilikuwa uoga wa kufeli aisee.Hongera kwa kujitunza
Aisee umenikosea sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] paradiso poa kabisa, yaani nimekuja kuinteract na wakaka chuo dooh, nilipata shida mwanzoni full aibuu, ila nyie Wa mixer full kujiachia mnajidai mna experience[emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Toka mwajuma alivyonisaliti kwa maandazi mawili ya hasani
Kipindi nipo la tatu sijawahi penda tena