nilio wahi kuwapenda kipindi nasoma wote hawakunikubali kabisa....ila ajabu siku hizi wananitafuta
M nilikuwa na demu wa form three m npo form four nilipomaliza kakanipiga chini kwa dharau kalifeli m nilipofika chuo nikakakuta dar kaliniganda sanaNikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
Mwaka gani?Mimi hadi namaliza form four sijawahi kuwa na mahusiano kabisa wala kutamani
"Nzinzinzinziiiiiiii,"O level nilikuwa na relation iliyopendwa hadi na walimu siku moja nakutana na ticha ananiuliza shem vipi nikamwambia hatukufanikiwa kufunga ndoa!!!alisikitika sana
2013Mwaka gani?
Hahahaaha mkuu usishangae nimesoma mkubwa sana afu nidhamu ilikuwa kubwa sana changanya na bidii uhusiano ulikuwa clean sana kudinya ilikuwa weekend tu au kwa dharula tulizingatia masomo"Nzinzinzinziiiiiiii,"
Vile ticha alisikitika