Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

happy-new-year-darling_1388072323.jpg

Thanks Sweetie hezbend!!!
 
Nikiwa kama Mwenyekiti mwenye dhamana ya mahusiano na ndoa hapa chit chat nililitangaza hili na nikalitia MUHURI kuwa couple bora kwa Mwaka 2013 ni ya watu8 na measkron. Hakuna swali. Wengine boresheni viuno, ndimi na nyoyo zenu labda mtaingia kwenye kinyang'anyiro cha 2014.

umesahau hata yangu pia ulitangaza kuwa ni couple bora ya mwaka 2013 ujue..LOL!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Milima na mabonde mwatakiwa kuifanya siri ndani ya ndoa, sasa mnaanika hadharani, disqualification tayari ya kuwa kapo bora, lol

hivi unaweza kuweka bonde la mto Rufiji na mlima Kilimanjaro ndani ya nyumba?????
 
umesahau hata yangu pia ulitangaza kuwa ni couple bora ya mwaka 2013 ujue..LOL!!!!!!!!!

Ya kwako tia maji tia maji hiyo nilikataa kuitangaza, tangu siku ile nimemuona Erickb52 amekushika kiunoni afu wamchekea tu.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama Mwenyekiti mwenye dhamana ya mahusiano na ndoa hapa chit chat nililitangaza hili na nikalitia MUHURI kuwa couple bora kwa Mwaka 2013 ni ya watu8 na measkron. Hakuna swali. Wengine boresheni viuno, ndimi na nyoyo zenu labda mtaingia kwenye kinyang'anyiro cha 2014.

Thanks a lot Baba V, my husband watu8 hii ni habari njema kwa familia yetu,
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama Mwenyekiti mwenye dhamana ya mahusiano na ndoa hapa chit chat nililitangaza hili na nikalitia MUHURI kuwa couple bora kwa Mwaka 2013 ni ya watu8 na measkron. Hakuna swali. Wengine boresheni viuno, ndimi na nyoyo zenu labda mtaingia kwenye kinyang'anyiro cha 2014.

Nifanyie mpango na mimi mwanao....ama we utaki kuona mkweo na wajukuu kabla israeli hajaitamani roho yako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom