Count Down!

BUJIBUJI naamini hujampata ambaye unapenda kuishi naye
bali umempata ambaye bila yeye huwezi kuishi.
kila la heri.......
 
I am counting down the seconds, Jumamosi nawakaribisheni wooooooote pale Azania Front Cathedral, Bujibuji nitakuwa nafunga ndoa siku hiyo ya tarehe 22/10/11 saa kumi jioni.
Asanteni sana.

Shemeji uje umtambulishe hapa jf...
 
ngoja nipige vigeregere vya kidigo.
Rey rey rey rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrree
 
Kila la kheri Bujibuji....Mungu akutangulie katika hatua hiyo! Enjoy & Congratulations!
 
Hongera kwa kuacha ukapera nakutakia kila la kheri mwenyeezi mungu akujaalie mkeo shemeji yetu akipata ujz uzito upate watoto wawili mapacha kama mimi nilivyo na Marehemu mwenzangu wa Mwanamke nakupa hongera Mkuu Bujibuji......
 
Bila shaka leo ndio harusi yako
hongera sana bujibuji uweke walau picha moja ya kiapo chako
hujateueleza tukija tumuulizie nani najua ipo harusi zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom