Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

Smile,mabinti nyie hovyo kabisa,usumbufu kila kukicha,mara karolaiti,mara disco mara sijui nini,bora nitulie zangu na sugar momy asie na makuu!

Eiyer siyo wote wako kama hao ulikutana nao..........
 
Last edited by a moderator:
Smile,mabinti nyie hovyo kabisa,usumbufu kila kukicha,mara karolaiti,mara disco mara sijui nini,bora nitulie zangu na sugar momy asie na makuu!
mwanaume majukumu kama huyawezi jua wewe sio..
 
Ni mada pana sana. Ila najua Moyo wangu hautampenda kiserengeti boy kamwe wala libabu, Moyo unanywea wenyewe...

Hujui upendo wewe,unazungumzia mapenzi,na hata mapenzi yenyewe hayako hivyo!
 
vijana wa siku hizi wengi ovyo kabisa ni aibu kwa kijana wa kiume kuishi kwa kuendekeza tamaa mbele
hata wakisema wadate mabinti wa umri wao wanataka wale wenye pesa ...ndo maana utasikia mimi natafuta binti awe na kazi au biashara...hawataki majukumu..hawana upendo wa kujitoa..shame on them..
kijana mdogo anamaliza chuo ajira ya kwanza anataka kumiliki nyumba,apartment masaki bata kila siku na washkaji..kwa mshahara gani wa jk?
teh ndo maana wengine wakikosa mijimama wanaolewa na wanaume wenzao mchana kweupeee
MUNGU atusaidie

Smile hii ya vijana kudai bata kila siku yaelekea inakukera ungelipenda angalau basi wale au kudai bata mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
mimi vijana wakinitongoza huwa nawaambia nafanya mamantilie kariakoo ...yaani kama alikupa na no ya simu anabadilisha kabisa... mapenzi kwao ni pesa tu

Smile hapo umewawekea mkakati shupavu kabisa.....................hawawezi kufurukuta.........labda wale wa chapu chapu ambao hata sura hawataki kuiona.........lol
 
Last edited by a moderator:
mimi vijana wakinitongoza huwa nawaambia nafanya mamantilie kariakoo ...yaani kama alikupa na no ya simu anabadilisha kabisa... mapenzi kwao ni pesa tu

Smile hapo umewawekea mkakati shupavu kabisa.....................hawawezi kufurukuta.........labda wale wa chapu chapu ambao hata sura hawataki kuiona.........lol
 
Last edited by a moderator:
Kweli kaka ila hako ka reseach umefanyia wapi?
uko juu mkuu.

Umegusa wote!!!!!!!!!!!!
 
Ni aibu kwao na kwa familia zao! Kwa nini kijana rijali ushindwe kujitafutia rizki kwa mikono yako? Hao ndiyo mwishowe huingia kwenye zile tabia zisizofaa.
 
Wanao angukia kwa ma cougar ni sawa sawa na wale wanao angukia kwa ma sugar daddy hakuna tofouti.

Kila moja anatafuta vya bure.
Huko sawa Mkuu!.
1.Nitatofautiana na wewe kidogo maana hata vijana kwa vijana siku hizi katika mausiano yao wameweka upendo pembeni na wanangalia kipato.
2.Vijana wa kiume akiona mahitaji ya kijana mwenzie wa kike ni mengi kuliko uwezo wake anatafuta kibibi ambacho chenyewe ama kimevuna sana huko nyuma au kimerithi mali za mmewe na kina shida ya URODA tu.
3.Kukaa mda mrefu bila kuingia katika ndoa huku tukifanya ngono zembe nalo ni tatizo kubwa sana kwa vijana tulio wengi, hivyo hujikuta katika mtengo huu maana wanakuwa hawawezi tena usumbufu wa vibinti vidogo vidogo. Hii hata kwa mabinti inawatokea sana wanaishia kwa vibabu.
Hapa tunasumbuliwa na mila na desturi zetu tu!.
 
Dating cougars


Zipo sababu 10 za kwa nini vijana wengi wanatumbukia kwenye mahaba feki na cougars............zikiwemo:-

1) Uvivu wa kujipatia kipato kwa jasho lao wenyewe.....

2) Kupenda dezo na kukwepa dhiki na karaha za umasikini......

3) Kutojua mbinu za kuwatongoza wale wa saizi yao kwa baadhi yao.............

4) Kutojali jamii inawaonaje katika mahusiano na mama zao kiumri ili mradi tu watimize mradi wao........

5) Kukubali na kuvumilia kujisalimisha kwenye mfumo jike....................

6) Utetezi hadaa wa ya kuwa wao wenyewe wanapendana mara nyingi huwa ni danganya toto na ni kisingizio cha kuhalalisha mahusiano husika..................

7) "Cougar" huwa ana kiburi cha pesa na huitumia nafasi hiyo kuthibitisha ya kuwa yuko juu ya mfumo dume ambao huona umemyanyasa kiasi cha kutosha.....................

8) Tatizo la "Cougar" na mwathirika wake ni kuwa huwa hawatosheki na walichonacho na hivyo kila mmoja wao kuhangaika kutafuta mapungufu kwenye mahusiano yao...................hivyo kujikuta wana wapenzi zaidi ya mmoja.........

9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............

10) Furaha wanayodai kuwa wameipata hujionyesha kwenye kadamnasi tu lakini wakiwa faragha huwa ni wapweke na kugubikwa na majonzi ya kuasi asilia.......................

Tatizo vijana wengi wanapenda shortcut ya maisha, wavivu wa kujishughulisha.
 
What about the other way round Rutashubanyuma? does this applies to "sugar daddy"
Come to think of it kwanini mwanamke aruhusiwe kumpenda mwanaume mkubwa kiumri lakini si mwanaume kumpenda mwanamke mkubwa? Hapa naongelea mapenzi ya ukweli money aside
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom