Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

So far mtu kaitwa Cougar huyo tayari ni saa 10 jioni na kuendelea obviuos watakuwa wana pesa za kuwadanganya vijana-poa kiukweli hapo hakuna chembe ya penzi ni mwendo wa kuchunana tu hapo na kama ana mume jiandae kutwangwa risasi ya kiuno...

Iza ili kiuno kisitikiswe tena..............................lol.hii ni kali
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii tabia inatakiwa kukomeshwa kuanzia kwenye vizazi vyetu, kwani hii tabia inaanzia toka utotoni na jinsi unavyomlea mtoto katika maisha yaliyo tegemezi katika maisha yake siku zote atakuwa tegemezi tu, hadi kwa mpenzi atakayempata siku za baadae hata hasipokuwa sugarmummy.

Tuwape watoto wetu makuzi yaliyo mema na yatakayomuwezesha kujitegemea muda wote.

Mahmetkid ujumbe umefika nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Si umesema hilo jimama linamzidi umri kwa hiyo ni halali yake apelekeshwe kwani yeye ni mtoto mdogo kwa hilo jimama? Lakini inawezekana pia hilo jimama limewekeza kwa mbunge ili lipate pesa za kumnunulia vitu vidogovidogo huyo serengeti boys kwa hiyo inabidi awe mpole tu vinginevyo ajitoe kwenye mahusiano.

Tata nijuavyo kidume kaumbwa kumtawala kijike na kijike anapokugeuzia kibao ujue umekwisha kabisa.........
 
Last edited by a moderator:
Hivi sugar mammy (cougar) ana sugar dady wanaanzia na umri gani?
[MENTION]
Tata[/MENTION] kipimo ni yeyote yule mwenye umri wa rika la wazazi wako..................
 
Huko sawa Mkuu,
Mara nyingi makosa yanakuwa yameishafanyika (hii ni kimtazamo)
Lakini kama huyu binti akiolewa na kibabu kwa malengo ya ndoa inakuwa poa!. na kwa mvulana hivyo hivyo.
Au unasemaje Mkuu.

Kyaiyembe damu motomoto yapendeza wakikutana wenyewe kwa wenyewe ingawaje kuna exceptions chache za hapa na pale...........
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ya miaka mingapi tunaongelea for a woman to be called a cougar 2, 3, 4, 10, 20 maybe? Kwangu sitapenda kuwa mama kwa kijana i cant stand naivete.................lakini my concern is for a girl ambaye yuko in love na mwanaume mkubwa will always be labelled a gold digger.

Elizabeth Dominic kama anampenda sugar daddy wake jamii itanusa na kutambua harafu ya hilo penzi..................umri wa rika la mzazi wako hicho ndicho kipimo kuwa mhusika kavuka mipaka................lol
 
Last edited by a moderator:
Iza ili kiuno kisitikiswe tena..............................lol.hii ni kali

Unajua Mkuu,hii tamaa ya vijana wa sasa itawasogeza kaburini kabla ya muda.Wanaona fahari kutembelea Prado TX wakati hawajui hata mafuta ya breki yanauzwa bei gani.Kiukweli ile spirit tuliyokuwa nayo wakati twahangahika na maisha hawa madogo hawana kabisa wanashindana nani ana Cougar mkali kuliko mwenzake...Wacha tuendelee kuwaasa labda wanapitaga humu wataona upande wa pili wa shilingi wa hayo wanayoyafanya ama sivyo kama sio risasi lazima "wataolewa" tuu..!
 
Mr Rocky yaelekea ni kufa kwa sikio ambako hakusikii dawa............
Rutashubanyuma ni kweli haya mambo huwezi yaamini unapoyaona au kuyasikia au unapokutana na mdogo wako au rafiki yako wa karibu ameingia kwenye huo mkumbo
Sometime ni raha ya kupata kila ukitakacho bila kuhangaika ila mwisho wake ni taabu maana wengine unawakuta bado licha ya kwamba ana mtu kama huyo bado ana wake wa pembeni mdogo wa umri wake
Inapogundulika sasa mrija ule ukikatwa inakuwa amepoteza kila kitu
 
Last edited by a moderator:
hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo

Manyanza hakuna supu y7a bwerere hata siku moja ..........................kila suluba hupatikana pale.
 
Last edited by a moderator:
Unajua watu hushindwa kutofautisha upendo na kutamani. Kama unauzungumzia upendo wa dhati kabisa aliouweka Mungu, basi tuseme Mungu hawezi na haruhusu kijana kumpenda sugarmumy, ameweka heshima, na staha. Hii ni tamaa tu na mihemko ya mwili tu, au tuite lust Kama aliyokuwa nayo Amnoni mwana wa Daudi kwa dada yake Tamari, yaani Hadi aliugua mpaka kitandani, vile alivo mlala tu dadake, akamchukia kwa machukio makuu, hii ikaleta upanga kwenye familia Yao.
Basi Kama ni upendo basi kuwe na staha kuwa huyu si wa saizi yangu, ngoja nimpende Kama mamangu. Si lazima vyote tuvipendavyo tuwe navyo.
[MENTION]
Remmy[/MENTION] kuna penzi kweli kwenye sugarmummy.................sidhani nadhani mvuto pale ni kijana anataka ulaini wa maisha tu na wala siyo vinginevyo...............kwa wengi wao...........
 
Rutashubanyuma ni kweli haya mambo huwezi yaamini unapoyaona au kuyasikia au unapokutana na mdogo wako au rafiki yako wa karibu ameingia kwenye huo mkumbo
Sometime ni raha ya kupata kila ukitakacho bila kuhangaika ila mwisho wake ni taabu maana wengine unawakuta bado licha ya kwamba ana mtu kama huyo bado ana wake wa pembeni mdogo wa umri wake
Inapogundulika sasa mrija ule ukikatwa inakuwa amepoteza kila kitu

Mr Rocky kuna jamaa yangu mmoja wa karibu alikuwa na cougar wake ambaye alikuwa wanakula naye matanuzi hadi majuu.......sasa yule sugarmmummy katangulia mbele ya hukumu jamaa hakuachiwa hata wembe....kila kitu cougar kawaachia wanawake....................na alikuwa kajaa kishenzi yule sugarmummy........................jamaa alizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja hawezi yaani ameghafirika sana kisaikolojia..........................he is even suicidal.....so sa................d.............

hapo ndipo nakumbuka ule usemi usemao "Mtegemea cha nduguye hufa angali masikini."
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic kama anampenda sugar daddy wake jamii itanusa na kutambua harafu ya hilo penzi..................umri wa rika la mzazi wako hicho ndicho kipimo kuwa mhusika kavuka mipaka................lol
Mmmh............sasa hiyo daddy ina maana gani kama tukiamua kutumia kipimo cha umri wa wazazi, i mean thats the whole point, they're suppose to be extremely older for them to qualify to be cougars and sugar daddy.......say the woman is 40 and the guy is 30 huwezi sema mwanamke ni cougar kivile sababu hamzai and the guy is matured kiasi. Basi kwanini tusijadili level of maturity ya wahusika kuliko tofauti ya miaka...........
 
Rutashubanyuma mbona sie tunaishi na vizee ni sugar dady mbona huwa hamsemi mnawasema kaka zetu tuu.mtoa mada husisha gender zote

nivea dunia inaongozwa na mfumo dume........................tuna uhuru zaidi ya nyie katika majambozi.................lol
 
Last edited by a moderator:
Mmmh............sasa hiyo daddy ina maana gani kama tukiamua kutumia kipimo cha umri wa wazazi, i mean thats the whole point, they're suppose to be extremely older for them to qualify to be cougars and sugar daddy.......say the woman is 40 and the guy is 30 huwezi sema mwanamke ni cougar kivile sababu hamzai and the guy is matured kiasi. Basi kwanini tusijadili level of maturity ya wahusika kuliko tofauti ya miaka...........

Elizabeth Dominic...................level of maturity is very subjective and in many considerations it is futile and arbitrarily ................wengi tutatofautiana kwenye hivyo vigezo........na tutatoa mwanya wa wengi kujitetea na kuchopoka kwenye hili sokomoko...........
 
nivea dunia inaongozwa na mfumo dume........................tuna uhuru zaidi ya nyie katika majambozi.................lol
Rutashubanyuma mfumo dume tena umekwenda mbali sana jamani mi sijawaza hayo nimeongea kiuhalisia tu.hujambo lakini umepotea sana,ila mpaka ufikie kuoa utakuwa umechunguza mengi ukichunguza nguruwe hutamla !!!!!!!!!
 
Unajua Mkuu,hii tamaa ya vijana wa sasa itawasogeza kaburini kabla ya muda.Wanaona fahari kutembelea Prado TX wakati hawajui hata mafuta ya breki yanauzwa bei gani.Kiukweli ile spirit tuliyokuwa nayo wakati twahangahika na maisha hawa madogo hawana kabisa wanashindana nani ana Cougar mkali kuliko mwenzake...Wacha tuendelee kuwaasa labda wanapitaga humu wataona upande wa pili wa shilingi wa hayo wanayoyafanya ama sivyo kama sio risasi lazima "wataolewa" tuu..!

Iza nionavyo hadi yawakute ndipo majuto kugeuka kuwa mjukuu.............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma mfumo dume tena umekwenda mbali sana jamani mi sijawaza hayo nimeongea kiuhalisia tu.hujambo lakini umepotea sana

nivea mie kila siku nipo jamvini una uhakika nimepotea kiukweli ukweli au....................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom