Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

Asiee Ruta ulikua wapi? Nilipata tetesi kua na wewe ilikua utekwe maana ndio issue siku hizi!

Ndallo wakuninasa bado hajazaliwa.....................................lol........nashangaa kudaiwa ati nimepotea mbona nipo kila siku labda matenzi yamepumzika kidogo nayavutia pumzi kidogo.........
 
Last edited by a moderator:
mimi nimekuona unapiga mihayo thats all au huamini nimekuona? kwani wewe mtoto ulishwe?

nivea unapowasha moto jiandae kuuzima...........
 
Last edited by a moderator:
mimi nimekuona unapiga mihayo thats all au huamini nimekuona? kwani wewe mtoto ulishwe?
[MENTION]
nivea[/MENTION] unapowasha moto jiandae kuuzima...........ukishidwa lazima ukutafune angalau kidogo ili siku nyingine usirudie hata kufikiria kushika kijinga cha moto...............
 
Asiee Ruta ulikua wapi? Nilipata tetesi kua na wewe ilikua utekwe maana ndio issue siku hizi!

Kweli bana huyu jamaa alipotea sana,unajua siku hizi unapokuwa critic lile jukwaa lazima wakutie katika Wanted List..naamini sasa'ivi inakuwa updated hourly manake visa vinazidi..lakini Aluta Continua
 
Dating cougars

9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............

QUOTE]

hapa ndipo hua tatizo kubwa maana kuna jamaa ni mshikaji wa karibu kabisa anatoka na jimama moja hilo jimama hua linachukuliwa na Mbunge mmoja hivi, na hilo jimama limekaa kikahaba kahaba, jamaa na yeyehua ananunuliwa vitu kama Simu,Viatu na kutolewa out ndogo ndogo lakini hana hatimiliki maana mheshimiwa Mbunge akilihitaji hilo jimama yaani jamaa hua anabaki kwenye mataa na anapelekeshwa kama mtoto mdogo

Si anataka kulelewa, hivyo lazima akubaliane na masharti yote
 
Dating cougars


Zipo sababu 10 za kwa nini vijana wengi wanatumbukia kwenye mahaba feki na cougars............zikiwemo:-

1) Uvivu wa kujipatia kipato kwa jasho lao wenyewe.....

2) Kupenda dezo na kukwepa dhiki na karaha za umasikini......

3) Kutojua mbinu za kuwatongoza wale wa saizi yao kwa baadhi yao.............

4) Kutojali jamii inawaonaje katika mahusiano na mama zao kiumri ili mradi tu watimize mradi wao........

5) Kukubali na kuvumilia kujisalimisha kwenye mfumo jike....................

6) Utetezi hadaa wa ya kuwa wao wenyewe wanapendana mara nyingi huwa ni danganya toto na ni kisingizio cha kuhalalisha mahusiano husika..................

7) "Cougar" huwa ana kiburi cha pesa na huitumia nafasi hiyo kuthibitisha ya kuwa yuko juu ya mfumo dume ambao huona umemyanyasa kiasi cha kutosha.....................

8) Tatizo la "Cougar" na mwathirika wake ni kuwa huwa hawatosheki na walichonacho na hivyo kila mmoja wao kuhangaika kutafuta mapungufu kwenye mahusiano yao...................hivyo kujikuta wana wapenzi zaidi ya mmoja.........

9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............

10) Furaha wanayodai kuwa wameipata hujionyesha kwenye kadamnasi tu lakini wakiwa faragha huwa ni wapweke na kugubikwa na majonzi ya kuasi asilia.......................

Mkuu na hawa wa ughaibuni wanaokubali kuoa vibibi au kuolewa na vibabu ili wapate makaratasi nao wako ktk kundi hili au?
 
Ni Aibu kubwa kwa kijana kuwa na mahusiano na sugar mummy.
Hivi upendo anaodai wanapendana sijui unatoka wapi? How can someone loves his mummy for sexual relationship? Huu ni uongo kabisa. Ni pesa tu wanafata.


What is the case kwa wadada wanaotoka na mibabu Remmy
 
Last edited by a moderator:
Mkuu na hawa wa ughaibuni wanaokubali kuoa vibibi au kuolewa na vibabu ili wapate makaratasi nao wako ktk kundi hili au?

mito kama love haipo wantumbukia humo humo............
 
Last edited by a moderator:
tehetehe ndio umenikaba sasa nimeshindwa kuuzima Rutashubanyuma kiswahili kigumu kweli angalia avatar yangu ufanye hivyohivyo hapo mezani kma hutaki kwenda kula
[MENTION]
nivea[/MENTION] avatar yako inatisha.........hanipi matumaini hata chembe.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom