Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Asa huyo anayeongea si mpuuzi kabisa!?
Kwanza kabisa ufananishe sgr ya Kenya na TZ si utakua mwendawazimu!?
Sgr ya Kenya jointed rail inatikisika no comfortability low speed.
Sgr ya TZ continuous welded hence has comfortability with higher speed.
Ukija kwa uwanja Kenya bado sana kwa Tanzania.
Tunawapa Amaan stadium ni zaidi ya viwanja vyote hapo Kenya.
Bado BM mkapa,haijaisha bado uwanja wa Arusha unaojengwa.
Aliyepost hiyo tweet hajui kitu, amesema wametoa viti na kuweka viti vyote vya kujikunja wakati ni sehemu ya VIP tu ndo wameweka hizo viti vya kujikunja kitu ambacho hata uwanja wetu Wa Mkapa tumeweka viti vya kujikunja sehemu ya VIP

Wakunya wanapenda kusifiwa uongo kinoma.
 
Usizoee kukariri.
 
Huku kwenye SGR Lot 5 hatusikii hii mikogo licha ya ujenzi kusimama na by July 2025 utakamilika mwaka kamili zaidi ya ule wa kukabidhi mradi kwa mujibu wa mkataba.

Hivi mkandarasi naye ana hiyo haki kimkataba kulipwa fidia iwapo ucheleweshaji ni uzembe wa serikali yenyewe?
hela zitoke wapi?
 
😹
IMG_20250527_233248.jpg

katu hatorudia tena!
 
Aliyepost hiyo tweet hajui kitu, amesema wametoa viti na kuweka viti vyote vya kujikunja wakati ni sehemu ya VIP tu ndo wameweka hizo viti vya kujikunja kitu ambacho hata uwanja wetu Wa Mkapa tumeweka viti vya kujikunja sehemu ya VIP

Wakunya wanapenda kusifiwa uongo kinoma.
IMG_3975.jpeg
 
Back
Top Bottom