babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Duru zinasema hao vijana wawili hawajulikani walipo hadi muda huu.Kumbe we una fikra finyu hapo!?
Wanaharakati wenu walikamatwa Kesha na kuwa deported,nani kamnyoosha mwenzake kati ya Tanzania/Mama Samia na ninyi wakenya?
Na vijana wenu wawili waliwekwa rumande siku mbili hadi Jana ndio wametolewa.
Nani kamnyorosha mwenzake!?
😂😂😂😂Unajiskia hata unavyoongea.
Hiyo ni meseji mama anatuma kwenu,hataruhusiwa kenge yeyote kuiingilia sovereignty ya TZ.
View: https://x.com/honeyfarsafi/status/1925065250983809443?s=46