ww amka. wacha kujijaza ujinga!SGR lengo lake ni kubeba mizigo ya nchi jirani na kukuza uchumi, inapaswa kufika haraka Mwanza na Kigoma, japo inasuasua sana sijui tatizo nini, kubeba abiria ni Bonus tu,ikifika mwisho wake TZ itakuwa level ingine na Ke watatuamkia
Wacha ujinga wewe!ww amka. wacha kujijaza ujinga!
mutabakia kufukuza upepo miaka nenda rudi.
Kufukuza upepo kwenye nini!?ww amka. wacha kujijaza ujinga!
mutabakia kufukuza upepo miaka nenda rudi.
Wewe unajiona umeamka sio?😎ww amka. wacha kujijaza ujinga!...
the gap keeps widening, alafu mtu anaongea pumba.... 🤮Wewe unajiona umeamka sio?😎
Yaani nimekuuliza swali na wewe unakurupuka kama mtu aliyetoka usingizini. Ha ha ha hivi una tatizo gani kamanda?😁the gap keeps widening, alafu mtu anaongea pumba.... 🤮
View attachment 3331392
View attachment 3331391
View attachment 3331393
wacha kujitoa ufahamu 😁😁😁)
Yaani nimekuuliza swali na wewe unakurupuka kama mtu aliyetoka usingizini. Ha ha ha hivi una tatizo gani kamanda?😁
Mbona na wewe unajitoa ufahamu kamanda au hujioni?😁wacha kujitoa ufahamu 😁😁😁
endelea kuteseka 😁😁😅Mbona na wewe unajitoa ufahamu kamanda au hujioni?😁
Huyo ni chawa mpiga kelele wa wanasiasa tu.Baada ya Dar kusikia kuhusu Nbo-Msa Expressway, prepare for a Dar-Dom Expressway (that will never materialise) soon!
View attachment 3318892
Siendelei na siteseki hata kidogo😎endelea kuteseka 😁😁😅
Vipande vya Makutupora Tabora, na Tabora Isaka ni vifupi sana na kazi inafanywa na Yerpi.wanasema treni ikifika Mukatupora, inamea mabawa na kupaa hadi Isaka na kuendelea na safari.
Na wewe pia😎endelea kuteseka 😁😁😅
yuko wapi huyo Yerpi???Vipande vya Makutupora Tabora, na Tabora Isaka ni vifupi sana na kazi inafanywa na Yerpi.
yuko wapi huyo Yerpi???
hata Dar-Moro pia ilikua kipande kifupi sana lakini iliwachukua miaka kumi kukamilika.
siku reli ikifika Tabora, nahama hili jukwaa 😁😁.
kuna uhakika gani hapa? 👇Yerpi yuko slow ila kazi yake ni uhakika.
Kumbuka Dar Moro, kulikuwa na tunnels na overpasses kibao.