Kamanda wa 'kinyang'au' Lewis254 kama nakuona vile😁
Muulize Boni Yai😁😁😁😁😁 noma sana aisee!
vipi treni ya mizigo inaanza kazi lini?
🤣🤣🤣Mlishawahi kusema Bukoba kuipita Dubai kabla ya 2017....
Kiko wapi sasa ??
NCHI HAKUNA VIONGOZI WA KUFANYA HAYO.
Die Hard Kamanda no retreat no surrender Jeshi la mtu mmoja wenzake wote washakimbia kabaki mzalendo wa kweli🤣🤣🤣🤣🤣Kamanda wa 'kinyang'au' Lewis254 kama nakuona vile😁
tumeshawazoea 😹😹😹Mradi umesimama kweli kinacho endelea ni zuga tu
Naam! 💯%Hii miradi haishi leo wala kesho
Ova
hawa jamaa ni wabishi sana