Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Rudi shule ukachukua school fees Yako. There's nothing in this world known as electric SGR na diesel SGR.
Screenshot_20211212-174801.jpg
 
Mzigo umeshafika, foleni ya meli za mizigo zinazongoja kuingia bandarini kushusha ni kubwa...

Huko awali nilisuggest walete kwa ndege kama An-225 Mriya but nafikiri kwa double decker tulizonunua ingekuwa tatizo kidogo kutokana na umbo sio kwa uzito...
 
Mkuu kwamba mzigo wa double decker umewasili au cjakuelewa.
 
Back
Top Bottom