NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,382
- 17,965
Mbona pananikalia pakawaida sana. I don't see the fuss.🚮🚮
Mbona pananikalia pakawaida sana. I don't see the fuss.🚮🚮
Hapa pa kawaida au sioMbona pananikalia pakawaida sana. I don't see the fuss.![]()

Ukikurupuka ndio unapata jointed SGR, gari moshi na lipstick ya stationshii kitu hahihitaji ukurupuke
View attachment 2053851

Kawaida? Umeona wapi kitu kama hicho Kenya mpaka useme panakaa kawaidaMbona pananikalia pakawaida sana. I don't see the fuss.![]()
Huwezi kuona cha maana cz hujawahi kuona electrified railway ktk maisha yako.Sioni cha maana.
can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?Yani esigiara ya dangagiza 150km bado haijaisha 5 years tangu ianze.
Punguza bangi mencan show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
Hawapendi kusikia habari hizocan show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu

can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu

kojoa ulaleMimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.😂😂😂can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.
View attachment 2057565
View attachment 2057566
Ndio nimekuuliza, tuonyeshe control center yenu. Ni kusoma hujui ama ni kuelewa huelewi? 🤣🤣🤣ngoja niaandike haya maneno afu niyakariri afu tukipata picha za control center in time nitakuquote tena.. usifute acc lkn!
control center
Hii ndiyo control center yenu?Ndio nimekuuliza, tuonyeshe control center yenu. Ni kusoma hujui ama ni kuelewa huelewi?![]()

1. It is hard to tell kama picha ya kwanza na ya pili zina relate cause picha ya kwanza kutoka ukutani na Hadi computer ya kwanza ni tofauti also aina ya viti ni tofauti sana, pia picha ya kwanza ni wachina watupu na ya pili ni kama kadarasa...Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.😂😂😂
View attachment 2057565
View attachment 2057566
They are two different pictures. What's your point?1. It is hard to tell kama picha ya kwanza na ya pili zina relate cause picha ya kwanza kutoka ukutani na Hadi computer ya kwanza ni tofauti also aina ya viti ni tofauti sana, pia picha ya kwanza ni wachina watupu na ya pili ni kama kadarasa...
Ss hiyo control center inaongoza nn? Ndiyo kusema mitungi inahitaji kuongozwa na computer? Mnaongezewa ma cost yasiyo lazima.They are two different pictures. What's your point?