Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Screenshot_20211204-092234.jpg
 
Reli ya danganyika haitawahi pata 100% safety rating sababu ishapata ajali kabla ya kuzinduliwa
Screenshot_20211204-092222.jpg
 
Hivi karibuni mlianza kuambiwa 2019, bado mnaambiwa tu mambo ya hivi karibuni. If I may ask, zile trains zilifaa zifike November zilikuja? Ama November ya Tanzania bado haijafika?
Vipi na SGR nayo imechelewa au, nyie wakenya hamna akili hivi unadhani hapa utapita mtungi hapa
IMG_20211207_173847_597.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni mlianza kuambiwa 2019, bado mnaambiwa tu mambo ya hivi karibuni. If I may ask, zile trains zilifaa zifike November zilikuja? Ama November ya Tanzania bado haijafika?
Na nyie si mpaka leo mnajenga haijafika border ya Uganda tuu mpaka leo?
 
Back
Top Bottom