Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Chini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea……….. can’t wait.
Hapo hapo Kamata flyover sijui itakaaje
 
Chini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea……….. can’t wait.
Hakika panapendezaa..

IMG_20211221_091027.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wangetamani pawe kwao.
Hakika kaka juzi nilipita Moro ndani kdg nikaambaa na reli ikiwa complete walikuwa wakirebisha mawasiliano tu hakika panapendeza!!!hata hiv vituo vya umeme ni vikubwa kweli tofauti na tunavyoona kwny videos!!RIP JPM kile kilikuwa ni chuma kweli tumpe support mama kazi iendelee!!! Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom