Nilishawahi kukupa fact ya ukweli kua jua si kiumbe hai vipi ulielewa?
Hukuwahi kunipa fact kama JUA ni kiumbe hai,kama ulishindwa kuthibitisha ya kuwa JIWE si kiumbe hai,vipi uweze kwa JUA.
Nikikwambia unipe ushahidi unaosema kuto kula nguruwe ni haram kwa muislam hapo ukinipa aya kutoka kwenye kuran utakua sahihi. Hata mimi kama kuna mtu anabisha kua kuna habari zimeandikwa kwenye vitabu kua jua huzama matopeni nitampa ushahidi wa hayo maandishi ajiridhishe.
Sasa kama unakubali kutolea yushahidi kwamba jua linazama matopeni na ukaamini,mimi ndio nakutolea ushahidi kutoka humo humo juu ya chanzo cha ulimwengu na huu pia ni ushahidi tena wenye nguvu.
Naona unakataa halafu muda huo huo unakubali,hii ajabu sana.
Kwanini upendacho kiwe ni ushahidi na kwetu isiwe ushahidi,usiwe mjinga kiasi hicho.
Kushindwa kwako kuthibitisha uongo wa ushahidi niliokupa ni kuonyesha ya kuwa huukubali ukweli.