Cosmological truth; death

Cosmological truth; death

Nimekuuliza maswali nikitegemea majibu wewe unaniletea mahubiri hivi kasumba hii mtaacha lini wafia dini??

Ebu hoja yako ijikite kwenye maswali niliyokupa

Narudia tena

Kama mungu mjuzi wa yote, aliweza kuyajua maisha ya kiumbe chake kabla hata hakijazaliwa kua atapita huku na kule mwisho wake utakua hivi. Sasa kwa sifa hii inamaanisha hakuna kitu kipya machoni mwake, inakuaje mungu huyu awatahini watu wake wakati hata kabla ya kuwapa mitihaani alikwisha kujua kua watafeli?????
Mwalimu mzuri Siku zote hatoi majibu bila kuonesha njia jibu kalipata vipi. Hayo inayo ita ni mahubiri ni Darasa kwako mwanafunzi, kama kunaambacho hujakielewa hapo kiseme, kama kuna unacho kipinga kipinge kwa hoja usikimbie mada kwa kuita facts ni 'mahubiri'.
Nirudi kwenye swali ambalo nimeshalijibu....ila majibu umeyapuuza na kuita mahubiri ...
Mwalimu Kabla ya kutoa mtihani huwa darasa lake analijua vyema na wanafunzi wake anawajua vizuri vilaza anawajua, Wakali wa kuweka banda anawajua. Je ni sawa mwalim asitoe mtihani na badala yake achapishe matokeo vilaza awawekee "o" na Wakali wa darasa awawekee "100", Je mwalim huyu atakuwa katenda haki? Je alichofanya ni Sahihi?
Jibu ni hapana
Je Mungu Mmoja, mpenda haki akafanya kama mwalimu huyo itakuwa ni Sahihi?
Jibu ni hapana
Kwanini basi Mwalimu akifanya hayo ni kosa lakini hayo makosa ya Mwalimu unataka yawe ni sahihi kwa Mungu Mmoja kufanya?
Mungu mmoja kukuuliza kila ulilofanya na wewe kukiri ndiyo mfumo wa Mahakama zote, iweje mfumo huyo tuukubali, lakini mfumo huo huo ukitimilizwa na Mungu Mmoja unakuwa ni makosa?
Atheists mnaikubali kweli ikiwa upande wenu, lakini kweli hiyohiyo ikihama upande mwingine munaikana... Mna nini nyinyi?
Haya ita na haya ni mahubiri maana hoja zikiisha kinacho fuata ni 'character assassination '
 
Visa Na visasili? Ni nani aliyejua ukweli wa kifo Tangu dunia kuumbwa?

Swali zuri,japokuwa swali langu la msingi hujalijibu,nimeliacha kiporo na ukipata wasaa utanijibu.

Narudi kwenye suala la visa na visasili,hizi ni habari za kubuni zisizokuwa na asili wala ukweli wa kimaana na kihisia.

Aliyejua ukweli wa kifo ni binadamu wa kwanza,bali Mola muumba aliumba kifo kwanza kabla ya uhai,na binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa.
Je weee ukweli wako wa kifo ume base kwenye nini ? Facts au story. ? Kwa sababu hata imani Yako imejengwa kwa muktadha wa Hadith za kale ambazo no one can prove its reality.

Naanzia hapa,maana ya tamko ukweli ni kauli au kitendo kuafikiana na hali halisi,hii ndio maana ya UKWELI. Najibu swali lako sasa,kwanza swali lako ni la uongo kwa sababu ukweli ni wa kauli na vitendo na ukweli wangu mimi umemili katika uhalisia wa kielimu.

Hadithi za kale nani alikwambia kwamba hazina ukweli ? Lakini nakuuliza swali hili,wewe huwa unatumia vigezo gani kujua kwamba huu ni ukweli na huu ni uongo ?

Je una amini kama Aristoto,Socrate,Plato waliwahi kuishi duniani ? Kama unaamini huwa unatumia nini kuamini ukweli juu ya watu hawa ? Ukijibu swali lako,nitakupa somo kwa uchache sana jinsi tunavyojua ukweli wa hadithi za kale.

Chukua hii ziada,tamko Hadithi ni tamko la asili ya kiarabu kilugha lina maana ya jambo jipya au kuzua na kifani maana yake ni habari,na katika habari kuna habari za uongo na habari za kweli.

Kwako wewe Hadithi ni nini ?
Sasa unaposema kuwa ni story zao tu nashindwa kuelewa , au nilitegemea uje na facts ambazo kila mtu ataweza kuziona.

Kwanza unakubali kama maelezo yako ya wana sayansi kuhusu kifo hayana ithibati zilizo mili katika misingi ya kisayansi ? Kama unakubali kwanini hukutaka ithibati za kisayansi toka kwao kwanza kisha utuwekee sisi tuweze kuziona ? Huoni kwamba hapo umeonyesha udhaifu mkubwa wa kuonekana wewe ni mpenda story na si facts ?
 
Swali zuri,japokuwa swali langu la msingi hujalijibu,nimeliacha kiporo na ukipata wasaa utanijibu.

Narudi kwenye suala la visa na visasili,hizi ni habari za kubuni zisizokuwa na asili wala ukweli wa kimaana na kihisia.

Aliyejua ukweli wa kifo ni binadamu wa kwanza,bali Mola muumba aliumba kifo kwanza kabla ya uhai,na binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa.

Naanzia hapa,maana ya tamko ukweli ni kauli au kitendo kuafikiana na hali halisi,hii ndio maana ya UKWELI. Najibu swali lako sasa,kwanza swali lako ni la uongo kwa sababu ukweli ni wa kauli na vitendo na ukweli wangu mimi umemili katika uhalisia wa kielimu.

Hadithi za kale nani alikwambia kwamba hazina ukweli ? Lakini nakuuliza swali hili,wewe huwa unatumia vigezo gani kujua kwamba huu ni ukweli na huu ni uongo ?

Je una amini kama Aristoto,Socrate,Plato waliwahi kuishi duniani ? Kama unaamini huwa unatumia nini kuamini ukweli juu ya watu hawa ? Ukijibu swali lako,nitakupa somo kwa uchache sana jinsi tunavyojua ukweli wa hadithi za kale.

Chukua hii ziada,tamko Hadithi ni tamko la asili ya kiarabu kilugha lina maana ya jambo jipya au kuzua na kifani maana yake ni habari,na katika habari kuna habari za uongo na habari za kweli.

Kwako wewe Hadithi ni nini ?

Kwanza unakubali kama maelezo yako ya wana sayansi kuhusu kifo hayana ithibati zilizo mili katika misingi ya kisayansi ? Kama unakubali kwanini hukutaka ithibati za kisayansi toka kwao kwanza kisha utuwekee sisi tuweze kuziona ? Huoni kwamba hapo umeonyesha udhaifu mkubwa wa kuonekana wewe ni mpenda story na si facts ?

Ndo umeandika nini ?
 
Ndo umeandika nini ?

Subiri watakao elewa watakufafanulia. Tatizo mbakaririshwa sana kwa jina la Sayansi halafu mnasahau kuwahoji wakubwa zenu kwa kuzingatia misingi ya Sayansi,na hizi tunaziita Story tu.
 
Subiri watakao elewa watakufafanulia. Tatizo mbakaririshwa sana kwa jina la Sayansi halafu mnasahau kuwahoji wakubwa zenu kwa kuzingatia misingi ya Sayansi,na hizi tunaziita Story tu.

Huwa unawahoji wakubwa zako ? Ungekuwa Una hoji na ku reason usingekuwa Mpumbavu.
 
Huwa unawahoji wakubwa zako ? Ungekuwa Una hoji na ku reason usingekuwa Mpumbavu.

Nawahoji na ndio maana nimefika hapa.

Nimekubali mimi mpumbavu,basi naomba unifafanulie au uonyeshe upumbavu uko wapi ?

Msaada wako tafadhali.
 
Nawahoji na ndio maana nimefika hapa.

Nimekubali mimi mpumbavu,basi naomba unifafanulie au uonyeshe upumbavu uko wapi ?

Msaada wako tafadhali.

Wamekwambia nn
 
Wamekwambia nn

kuniambia kuhusu nini ? Umeuliza kama huwa nawahoji nimekujibu nawahoji ndio maana nimefikia hapa nilipo na hizo hoja zangu ambazo wewe hujazielewa ni matunda ya mimi kuwahoji.

Sasa adabu za mijadala ni wewe ulifanyie kazi ombi langu,la kuonyesha upumbavu wangu uko wapi na kuzikosoa hoja zangu kielimu. Ukishindwa kufanya hivyo bila shaka "Mpumbavu" utakuwa ni wewe.

Nakuja kukupa maana ya Moumbavu na katika elimu mpumbavu anawekwa kundi gani.

Tuendelee....
 
Wewe Zuri acha mambo yako. Hit the point . Death is not bad. Na wala hakuna mateso.

Suala la kufa kwa wengine haliyakuwa wanaonekana wanataabika ni suala la kawaida kulingana Na aina ya kifo .

Do you accept that ?
 
Wewe Zuri acha mambo yako. Hit the point . Death is not bad. Na wala hakuna mateso.

Swali la msingi na ndio nalotaka kujua na kuwatuhumu wana Sayansi wakishindwa kulidiriki jambo huwa wanaleta story za vijiweni zisizo na misingi ya kielimu.

Swali langu liko hivi,wao wana Sayansi wana misingi yao,sasa nataka waelezee kifo kwa misingi yao na kutupa vidhibiti. Mathalani mimi ninajua hakika ya kifo kupitia mafunzo ya dini yangu,na wao wana njia zao ambazo huwa wanazitumia kujua hakika ya mambo.

Suala la kifo sio jambo baya na wala sikupinga kama ni jambo baya,bali nilihoji vile kutaka kupata majibu ya kielimu toka kwenu.

Huwezi kuhukumiwa siku ya mwisho kabla hujapitia hatua ya kifo,kifo ni hatua,sababu siku ya hukumu ni moja na watu hufa kwa nyakati tofauti,ndio maana sasa kipindi tunasubiri hukumu lazima maisha yaendelee kwa walio duniani na walio kaburini,kama wewe ulivyo ishi ukiwa ndani ya tumbo la mama ako.

Huo ndio msimamo wangu juu ya kifo.
Suala la kufa kwa wengine haliyakuwa wanaonekana wanataabika ni suala la kawaida kulingana Na aina ya kifo .

Hili sijakataa.
 
This makes perfect sense eeenh !

Watakuwa wanazungumzia hao funza. Sasa why do they say you will feel the pain .

In your graveyard ;

You will be asked who is your lord, if not Allah, my friend you are in trouble

You will be asked what is your faith , if not Islam my friend you are in trouble

You will asked what is your book ? If not Quran my friend you are in trouble. Ha ha

How our forefathers could not even ask the reality of these things!!

Unaona kabisa hivi vitu vimewekwa katika hali ya kuogofya ili ku bind people together, keep people in their faiths. Why it has to be so scaring ? —🧐
Upuuzi.
 
Swali la msingi na ndio nalotaka kujua na kuwatuhumu wana Sayansi wakishindwa kulidiriki jambo huwa wanaleta story za vijiweni zisizo na misingi ya kielimu.

Swali langu liko hivi,wao wana Sayansi wana misingi yao,sasa nataka waelezee kifo kwa misingi yao na kutupa vidhibiti. Mathalani mimi ninajua hakika ya kifo kupitia mafunzo ya dini yangu,na wao wana njia zao ambazo huwa wanazitumia kujua hakika ya mambo.

Suala la kifo sio jambo baya na wala sikupinga kama ni jambo baya,bali nilihoji vile kutaka kupata majibu ya kielimu toka kwenu.

Huwezi kuhukumiwa siku ya mwisho kabla hujapitia hatua ya kifo,kifo ni hatua,sababu siku ya hukumu ni moja na watu hufa kwa nyakati tofauti,ndio maana sasa kipindi tunasubiri hukumu lazima maisha yaendelee kwa walio duniani na walio kaburini,kama wewe ulivyo ishi ukiwa ndani ya tumbo la mama ako.

Huo ndio msimamo wangu juu ya kifo.

Hili sijakataa.

Yaani Zuri you can’t be serious, trust me.

Maisha yaendelee kaburini! Kuna maisha kaburini? Ukienda kufukua watu waliokufa miaka 10K iliyopita, utakuta nini . Yaani ningekuelewa ungesema ulimwengu wa roho kuna maisha, But Sio kaburini . You guys why mnachagua Ujuha.

Unazungumzia maisha ya mtoto tumboni kwa Mama. Is mummy living being or dead body? Kama mama akifa, je mtoto ataendelea kuwa hai ? Ili mtoto awe mzima tumboni Mama ni lazima awe mzima, otherwise hakuna maisha ya mtoto. True or false ?

Ukifa, means you are dead, in few minutes billions of micro organisms and bacteria attack your body to hell .you will smell fishy and rotten. You will be eaten by microbes from your flesh to the bones, no mercy .how can you dare to say kaburini kuna maisha ? Is there any proof about that?

Nyie watu hampendi kujifunza ndio mana unaandika mavi mavi sana hapa, name any scripture ambayo imesema Kaburini kuna adhabu au maisha- name it from Zaburi , Torah , Injili and Al Furqan. Come with your verse literally.

Yaani i couldn’t finish maandishi yako , halafu sasa Una pretend as if dini umezaliwa nayo, wewe ni mtu mweusi, alama yako ni UTUMWA. Hata hizo dini zako zimeweka bayana.

Huna dini, wewe ni Bendera. Ukirudi nyuma miaka 200 TZ hakukuwa na Uislam wala ukristu. Mlikuwa mnaabudu nini l? Unadhani kulikuwa hakuna blacks saints and prophets in Africa back in the days? Their history all were buried, and you were manipulated Na story za Muhammad this Jesus that , Middle East this Saudia that, Vatican this , Israel that, BS ! Matokeo yake huna asili you slave. All you have in your mind is white dominance.

Hizo dini zote haziwahusu , ni dini za Middle East , ni kimbelembele chenu. Tafuteni identity yenu.
 
Unazungumzia maisha ya mtoto tumboni kwa Mama. Is mummy living being or dead body? Kama mama akifa, je mtoto ataendelea kuwa hai ? Ili mtoto awe mzima tumboni Mama ni lazima awe mzima, otherwise hakuna maisha ya mtoto. True or false ?

Kwani ardhi ni mfu au ni hai ? Kuna tumbo la ardhi,unalijua hilo ?
 
Maisha yaendelee kaburini! Kuna maisha kaburini? Ukienda kufukua watu waliokufa miaka 10K iliyopita, utakuta nini . Yaani ningekuelewa ungesema ulimwengu wa roho kuna maisha, But Sio kaburini . You guys why mnachagua Ujuha.

Unazungumzia maisha ya mtoto tumboni kw

Tatizo lako wewe unalalamika wala hutoi hoja kupinga haya tuyasemayo.

Uislamu ni Qur'aan na Hadithi,sasa nakupa ushahidi kutoka kwa viwili hivyo juu ya uwepo wa maisha ya Kaburini.

Nanukuu :

Maisha ya kaburini ni kile kipindi anachokaa mtu baada ya kufa kwake mpaka kufufuliwa kwake. Kipindi kati ya parapanda la kwanza ambalo ni amri ya kufa viumbe vyote na parapanda la pili ambalo ni amri ya kufufuliwa viumbe vyote vitakavyotakiwa vifufuke, Huitwa Barzakh. Tunajulishwa kuhusu Barzakh katika Aayah ifuatayo:

“Mpaka yanapomfikia mmoja wao mauti, husema: Mola wangu Nirudishe”,
“Ili nitende mema sasa badala ya yale niliyoyaacha. Wapi! Hii ni kauli aisemayo yeye tu. Na nyuma yao kipo kizuizi mpaka siku watapofufuliwa”. [Al-Mu-uminuwn: 99-100].

Katika kipindi hichi cha maisha ni mambo gani yanayoendelea katika nafsi ya mwenye kufa? Wengi kwa kujiliwaza katika wakati huo hufikiria kuwa watu wanakuwa mapumzikoni. Na watu ambao hawaamini siku ya mwisho huamini kuwa kifo ndio mwisho wa maisha ya watu na iliyobaki ni kuoza na kuwa chumvi chumvi zitakazotumika ardhini.

Katika kipindi cha Barzakh roho za watu wema zitakaa pahali pazuri kungojea malipo yao ya Peponi, Ama zile za watu waovu zitakuwa mahabusu zikingojea siku ya hukumu yao. Hivi ndio tunavyojifunza katika Hadiyth zifuatazo:

Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesimulia kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ambae alisema: “Hakika maiti hupelekwa kaburini na hukaa kaburini bila ya khofu wala fadhaa. Baada ya hapo ataambiwa: “Ulikuwa katika nini? Atajibu: “Muhammad Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitujia na hoja zilizokuwa wazi kutoka kwa Allaah (Subhaanahu Wa Ta’ala) na kwa hivyo tulimuamini. Ataulizwa tena “Umemuona Allaah (Subhaanahu Wa Ta’ala)?, Atajibu: “Si katika uwezo wa yeyote kumuona Allaah (‘Azza Wa Jalla). Kisha patawekwa uwazi utakaomuonyesha moto unaofoka. Kisha ataambiwa angalia kile ambacho Allaah Amekuokoa (Amekukinga nacho). Kisha patawekwa uwazi utakaomuwezesha kuiona Pepo na pia vyote vilivyomo ndani yake. Ataambiwa: “Hii ni sehemu yako kutokana na Uthibiti wa Iymaan uliyoishi nayo hadi kufa nayo na ambayo utafufuliwa nayo in shaa Allaah”.
Ama kuhusu mtu muovu yeye atakaa katika kaburi lake kwa khofu na fadhaa. Ataulizwa: Ulikuwa katika nini? Atajibu sijui. Kisha ataulizwa tena: Ni nani huyu? Atajibu nilisikia watu wakisema kama nilivyosema. Kisha utawekwa uwazi kwa kumuwezesha kuiona pepo ataangalia na kuona uzuri wake na vilvyomo ndani yake. Ataambiwa: Angalia kile ambacho Allaah (Subhaanahu Wa Ta’ala) Amekukosesha (Kutokana na Iymaan yako mbovu). Kisha utawekwa uwazi wa kumuwezesha kuona na ataambiwa hii ndio sehemu yako ambayo uliendesha maisha yako kwa kuwa na mashaka nayo, Na umekufa ukiwa na mashaka nayo na utafufuliwa ukiwa katika hali hiyo hiyo, in shaa Allaah”. [Ibn Maajah].

Pia tunapata Hadiyth nyingine kutoka kwa Mama wa Waumini ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha) amesimulia kuwa:
“Mwanamke wa kiyahudi alimwendea na kumsimulia adhabu ya kaburi, Akamwambia; Allaah Akukinge na adhabu ya kaburi. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) akajibu; “ndio”, Adhabu ya kaburini ni jambo la kweli: ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha) alisema: Sikumuona Mtume baada ya hapo kuswali Swalah yoyote bila ya kumuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta’ala) Amkinge na adhabu ya kaburini”. (Al-Bukhaariy na Muslim).

Pia tuangalie katika Hadiyth ifuatayo inatueleza nini juu ya maisha ya Kaburini.

Bara’a bin ‘Aazib amesimulia kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) akisema:
“Malaika wawili watamjia (maiti), Watamkalisha na kumuuliza: Ni nani Bwana wako? Atajibu: Allaah pekee Ndiye Bwana wangu. Kisha watamuuliza tena, Ni nani huyo aliyeletwa kwenu? Atajibu: Alikuwa ni Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam). Watamuuliza tena; Amekuleteeni habari gani? Nimesoma kitabu cha Allaah nikaamini kutokana nacho na nikaithibitisha ‘Iymaan hiyo (katika matendo)”.
Na pia tuangalie Kauli Yake Allaah (Subhaanahu Wa Ta’ala) Asemavyo katika Kitabu Chake kuwa:
“Allaah Huwatia imara wenye kuamini kwa kauli ya imara katika maisha ya dunia na katika Aakhirah. Na Allaah Huwaacha kupotea hao wenye kudhulumu. Na Allaah Hufanya Apendavyo”[Ibraahiym: 27]
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) akasema:
“Mtangazaji (mwenye kunadi) atatangaza (atanadi) kutoka mbinguni: Hakika mja Wangu amesema ukweli. Mtengeeni sehemu Peponi na mvisheni mavazi ya Peponi, Na mfungulieni mlango wa Peponi. Kisha utafunguliwa. Akasema Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) na hewa ya Peponi na harufu yake nzuri ya manukato itamjia na Pepo itakurubishwa kwake kiasi cha upeo wa macho. Ama kwa kafiri asiyeamini, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) alitaja kifo chake na akasema: Roho yake itarudishwa katika kiwiliwili chake na Malaika wawili watamjia, Watamkalisha na kumuuliza: Ni nani Bwana (Mola) wako? Atajibu: Haa! Haa! Sijui! Watamuuliza tena: Ni ipi dini yako? Atajibu: Haa! Haa! Sijui! Kisha watamuuliza ni nani huyo aliyeletwa kwenu? Atajibu Haa! Haa! Sijui! Kisha mwenye kunadi atanadi kutoka mbinguni: Hakika amesema uongo, Kwa hiyo mkunjulieni kitanda cha motoni. Akasema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wasallam) Kisha joto lake na upepo wa moto utamjia na kaburi lake litakuwa jembamba sana kwake mpaka mbavu zake mbili zitapishana.
Kisha atakabidhiwa kwa Malaika kipofu na kiziwi mwenye pande (rungu) la chuma, Kama mlima ungelipigwa na chuma hicho ungelikuwa vumbi. Atampiga kwa chuma hicho kwa kipigo ambacho kitasikika kwa kila aliye mashariki na magharibi ispokuwa viumbe wa aina mbili (Majini na Watu) hawatasikia. Atakuwa vumbi na kisha roho itarudishwa tena kwake.” (Ahmad na Abu Daawuwd).

Ukifa, means you are dead, in few minutes billions of micro organisms and bacteria attack your body to hell .you will smell fishy and rotten. You will be eaten by microbes from your flesh to the bones, no mercy .how can you dare to say kaburini kuna maisha ? Is there any proof about that?

Hivi kusadiki kwa jambo au kuwepo kwa jambo mpaka wewe ulione kwa macho au ? Mbona bado uko nyuma sana kielimu ?
 
Yaani i couldn’t finish maandishi yako , halafu sasa Una pretend as if dini umezaliwa nayo, wewe ni mtu mweusi, alama yako ni UTUMWA

Nipe ushahidi wa hilo.

Pili suala la utumwa halijaanzia kwetu,na kama una ufahamu huo ujue hujui lolote juu ya Historia ya mwanadamu.

Mayahudi walikuwa watumwa,waarabu kadhalika na wengine. Vipi uunasibishe utumwa na waafrika tu ?
 
Kwani ardhi ni mfu au ni hai ? Kuna tumbo la ardhi,unalijua hilo ?

Ha ha duh ! Wewe kapige Ramli bhana ndio kazi zako. Eti tumbo , mtoto anaishi kwenye tumbo.
 
Nipe ushahidi wa hilo.

Pili suala la utumwa halijaanzia kwetu,na kama una ufahamu huo ujue hujui lolote juu ya Historia ya mwanadamu.

Mayahudi walikuwa watumwa,waarabu kadhalika na wengine. Vipi uunasibishe utumwa na waafrika tu ?

Halafu umenifanya nipitie post zako ili nijue Level yako ya elimu Na kufikiri. Maana Sio kwa mavi mavi haya unayoandika.

Mayahudi waarabu sijui nini that is all you know eeenh ? Napenda sana kudebate na critical thinker as a part of learning. But wewe kwako sijifunzi kitu, unapoteza muda na ukapige Ramli this is not your level
 
Huna dini, wewe ni Bendera. Ukirudi nyuma miaka 200 TZ hakukuwa na Uislam wala ukristu. Mlikuwa mnaabudu nini l?

Unaweza kunipa ushahidi juu ya hili ? Mimi sijui tulikuwa tuna abudu nini,ndio weee uniambie tulikuwa tunaabudu nini ?
Unadhani kulikuwa hakuna blacks saints and prophets in Africa back in the days? Their history all were buried, and you were manipulated Na story za Muhammad this Jesus that , Middle East this Saudia that, Vatican this , Israel that, BS ! Matokeo yake huna asili you slave. All you have in your mind is white dominance.

Ndio uniambie hao watakatifu wakiafrika walikuwa wanapatikanaje na hao mitume walikuwa wanapatikana vipi ?

Historia vipi zilizikwa ? Wewe umejuaje kama zilizikwa kama hazikukufikia ? Je kuna mtu yeyote ambaye aliandika kitabu cha historia ya Waafrika wa kale na kitabu chake kikateketezwa ?

Yaani nithibitishie ya kuwa historia ya Waafrika ilizikwa na hiyo sahihi unipe huku ukiambatanisha na ithibati za kuhakiki habari.

Nasubiri majibu.
 
Back
Top Bottom