Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,859
Hata mm siogopi kifoWewe wahi tu. Tangulia nitakukuta huko nitakapofika 94 years.![]()
Ingawa naamini Mungu yupo , hapo ndo tunapotofautiana
Hata mm siogopi kifoWewe wahi tu. Tangulia nitakukuta huko nitakapofika 94 years.![]()
This makes perfect sense eeenh !
Watakuwa wanazungumzia hao funza. Sasa why do they say you will feel the pain.
In your graveyard ;
You will be asked who is your lord, if not Allah, my friend you are in trouble
You will be asked what is your faith , if not Islam my friend you are in trouble
You will asked what is your book ? If not Quran my friend you are in trouble. Ha ha
How our forefathers could not even ask the reality of these things!!
Unaona kabisa hivi vitu vimewekwa katika hali ya kuogofya ili ku bind people together, keep people in their faiths. Why it has to be so scaring ? —![]()

Ntakupaje update nikifa mkuu ?!
Sawa nakubali huamin Mungu yupo
Mbona unaongea vitu out of sense kbs wats problem broh
Nimejua ni kweli sababu yaliyoelezwa kutokea duniani yanatokea, inamaana kilichoelezewa kitatokea basi pia kitatokea.Umesema « hata hayo yaliyoongelewa na dini kuhusu after life ni ya kweli>>je umejuaje hayo ni ya kweli ?
Hata hivyo, kila dini ina description tofauti ya after life, je ni after life gani ndiyo sahihi?
dini ipi ndiyo njia ya haki ?
Believing the Bible and Quran is what makes you Christian and Muslim but understanding them is what makes you an atheistKama ulivyochukua muda ukasoma haya maandiko ya kisayansi basi pia chukua muda yasome maandiko ya kidini, utapata majibu ya maswali yako ili usiwe umeegemea upande mmoja
Kama ulivyochukua muda ukasoma haya maandiko ya kisayansi basi pia chukua muda yasome maandiko ya kidini, utapata majibu ya maswali yako ili usiwe umeegemea upande mmoja
Ukiweza kutofautisha Kati ya sayansi na mwanasayansi update hilo bandiko lako inaonekana una vitu vya msingi unataka kuviongeaUnafahamu hawa wanasayansi nnje ya kazi nao wanaimani zao za kidini???
Kuna prove za kukuonesha kua Mungu yuko na ziko zimetajwa kwenye vitabu vitakatifu yaani Zaburi, Injiri, Torati na Qur-ani. Ukivisoma hivi utaelewa uwepo wa Muumba na utaelewa signs zipi zitakupa majibu hayo, lakini kutazama porojo mtandaoni au kufuata watu wachache utashindwa kujua maana, kwenye hivi vitabu vimeelezea kuanzia uumbaji, maisha yako hapa duniani na pia maisha ya baadae. Sisi wanadamu tu watukutu sana hilo ndio tatizo badala ya kutazama ili kujifunza sisi tunazama ili tukosoe, ila inampasa mtu mwenyewe na nafsi yake aamue kuusaka ukweli wa kuamini ambao yeye atauona sahihi, sababu hata tukija kisayansi watu hawajasoma hizi ni data tu za mtandaoni pengine hata njia gani tafiti ilifanyika hakuna anaefahamu, ukienda kwenye vitabu vitakatifu vipo visa vya watu waliojitolea kuelezea mauti yanavyokua na walikua wakielezea wakati wa kukata roho, unajua kwanini mtu akiwa anakata roho miguu ndio huanza kupoteza nguvu? Sababu roho huvutwa kupitia utosini pale panapodunda utotoni(kwann huwa panadunda kwanza science najua haina jibu) hutoka kuanzia miguuni kuja juu na hutolewa hatua kwa hatua ila Muumba anasema anapokea toba ya waje wake kasoro tu ikifika wakati wa roho kutoka(anapokea roho ikiwa mwilini), tuwe wenye kuifahamu njia ya haki mapema kwa uwezo wa Muumba wetu
Hata mm siogopi kifo
Ingawa naamini Mungu yupo , hapo ndo tunapotofautiana
Tunatofautiana vipi ? Mbona umeshakuwa na majibu yako kuwa hapo ndio tunatofautina.
Unaweza ku focus Kwenye Mada bila ya kumjaji mtoa mada, please thanks.
You guys need to learn how to communicate when we discuss about critical issues.

Nice quote sababu ni kweli dini ni imani ya mtu sababu ni mambo ambayo kwa uelewa wa kibinadamu ni makubwa zaidi kuyaelewa kwa sasa, tutakuja kuyaelewa swala ni kwamba je tutajutia kufahamu ukweli au tutafurahia, hapo kila mtu na nafsi yake sasaBelieving the Bible and Quran is what makes you Christian and Muslim but understanding them is what makes you an atheist
Sijasema unaamini nge
Kuna vitabu vya dini vimesema kua kuna adhabu ya kaburi ambayo inakua ime contain nyoka na nge
Sasa ukiwa huko utaweza kutupa update namna gani hao nyoka na nge wanaingia humo kaburini
Umesoma kweli dini??? Nyingine hapo umeweka vitu ambavyo ni story za kijiweni haviko kwenye dini.Unajuaje kama sijasoma mkuu ?
Mada yangu haijaelemea kokote.
Changamoto kubwa ni wewe kuamini kuwa dini has all the answers. Na ukifika pahali ukashindwa ku reason, utaishia kusema Mungu ndio kaweka hivyo, which literally means you are closing the door for the next question.
Kama dini has all the answers, why hawakuweza kufanya mambo ya msingi tunayoweza kufanya sasa.
Hii Mimi na Wewe kuwasiliana kama hivi hali ya kuwa hatujuani ni virtue of the science.
And I am not saying that science has all the answers. I am saying science doesn’t prétend to have all the answers, when they are wrong, they admit and someone else correct the mistake.
Dini nazo zijifunze ku admit myths and fabricated story zake.
eti the whole world was flooded, eti Jesus died for my sins , eboh, how could someone died for my sins , eti God sacrificed himself for himself.
Eti mwezi ulipasuka vipande vipande kisha ukajiunga, kwamba mpaka sasa mwezi una ufa. Eti jua likizama linaenda kusujudi kwa mola kisha likishamaliza kusujudu linarudi Asubuhi. Let them admit kuwa these were moral stories, not truths .
Unataka nitumie akili za nani katika kila kitu?? Hapa umedhihirisha ukweli kua akili zenu zipo locked kwenye mifuko ya watuAkili funza
Unataka kutumia akili yako katika kila kitu?!!!!
kwani dini gani iliyoweza kutoa maelezo hayo ambayo sayansi ilishindwa bila kuacha utata wowote???Sayansi,ndani ya kutumia akili sana,ila kuna vitu vingi bado hawavijui sababu yake ni nini?!
ni halali hutumii akili zako katika kila kitu, kwa akili hii hata bata haimtoshi kumuwezesha aweze kusukuma kinyesiSasa ww unauliza
Hao Nyoka na Ng'e,wanaingiaje?!!
Kufa kwanza,kisha utajua......
Usiwe na Haraka Bro
sasa aliyeleta habari za nyoka na nge kaburini alijuaje kama hakuna mtu aliyewahi kurudi akisha kufa??Hakuna Mtihani mgumu kwa Binaadam,kama Kifo
Ukifa,Hakuna kurudi tena,mpaka siku ya mwisho....
Contradiction detected.Wala hakuna ruhusa tena ya kusahihisha makosa yako.
Ukifa,ndio mwisho wa Kitabu chako,na hapo hukumu stahiki inakuja
yani maelezo yako yote yanajipingaAma
Dharau ya kusema....Kufa halafu njoo ututhibitishie......Haitakuwa na nafasi tena
Ukifa..ndio THE END
Shukran
Siku njema
Kwani stori za vijiweni hazihusishi dini??Umesoma kweli dini??? Nyingine hapo umeweka vitu ambavyo ni story za kijiweni haviko kwenye dini.
Unaongelea kuwasiliana tu kwa simu, umesoma kisa cha nabii Suleiman? Enzi ya nabii Suleiman teleportation ilikua inafanyika refer msomi alileta kiti cha mgeni aliekua anakuja kwa nabii Suleiman kabla ya mwenye kiti chake kua amefika, yaan kama ww unatoka kwako kuja kwangu halafu mimi nichukue kiti chako na nikirembe ukija unakuta nimekalia kiti chako na hukijui unahisi tu kimefanan, na hakwenda kuchukua jini alienda kukichukia mwanadamu kwa hatua ya jicho kufungwa na kufunguliwa.
Tunaweka tyles sasa ila nyumba ya nabii Suleiman ilikua na samaki wanatembea chini unaekanyaga unawaona je tuseme ni kioo kigumu au ni nini walitumia kwa ambavyo tunafanya sasa, ila usiseme dini haina majibu bado hujaisoma dini kasome tena vizuri tafadhali
Unafahamu hawa wanasayansi nnje ya kazi nao wanaimani zao za kidini???
Kuna prove za kukuonesha kua Mungu yuko na ziko zimetajwa kwenye vitabu vitakatifu yaani Zaburi, Injiri, Torati na Qur-ani. Ukivisoma hivi utaelewa uwepo wa Muumba na utaelewa signs zipi zitakupa majibu hayo, lakini kutazama porojo mtandaoni au kufuata watu wachache utashindwa kujua maana, kwenye hivi vitabu vimeelezea kuanzia uumbaji, maisha yako hapa duniani na pia maisha ya baadae. Sisi wanadamu tu watukutu sana hilo ndio tatizo badala ya kutazama ili kujifunza sisi tunazama ili tukosoe, ila inampasa mtu mwenyewe na nafsi yake aamue kuusaka ukweli wa kuamini ambao yeye atauona sahihi, sababu hata tukija kisayansi watu hawajasoma hizi ni data tu za mtandaoni pengine hata njia gani tafiti ilifanyika hakuna anaefahamu, ukienda kwenye vitabu vitakatifu vipo visa vya watu waliojitolea kuelezea mauti yanavyokua na walikua wakielezea wakati wa kukata roho, unajua kwanini mtu akiwa anakata roho miguu ndio huanza kupoteza nguvu? Sababu roho huvutwa kupitia utosini pale panapodunda utotoni(kwann huwa panadunda kwanza science najua haina jibu) hutoka kuanzia miguuni kuja juu na hutolewa hatua kwa hatua ila Muumba anasema anapokea toba ya waje wake kasoro tu ikifika wakati wa roho kutoka(anapokea roho ikiwa mwilini), tuwe wenye kuifahamu njia ya haki mapema kwa uwezo wa Muumba wetu
, Injiri
. Akili funza
Unataka kutumia akili yako katika kila kitu?!!!!
Sayansi,ndani ya kutumia akili sana,ila kuna vitu vingi bado hawavijui sababu yake ni nini?!
Sasa ww unauliza
Hao Nyoka na Ng'e,wanaingiaje?!!
Kufa kwanza,kisha utajua......
Usiwe na Haraka Bro
Hakuna Mtihani mgumu kwa Binaadam,kama Kifo
Ukifa,Hakuna kurudi tena,mpaka siku ya mwisho....
Wala hakuna ruhusa tena ya kusahihisha makosa yako.
Ukifa,ndio mwisho wa Kitabu chako,na hapo hukumu stahiki inakuja
Ama
Dharau ya kusema....Kufa halafu njoo ututhibitishie......Haitakuwa na nafasi tena
Ukifa..ndio THE END
Shukran
Siku njema
Umesoma kweli dini??? Nyingine hapo umeweka vitu ambavyo ni story za kijiweni haviko kwenye dini.
Unaongelea kuwasiliana tu kwa simu, umesoma kisa cha nabii Suleiman? Enzi ya nabii Suleiman teleportation ilikua inafanyika refer msomi alileta kiti cha mgeni aliekua anakuja kwa nabii Suleiman kabla ya mwenye kiti chake kua amefika, yaan kama ww unatoka kwako kuja kwangu halafu mimi nichukue kiti chako na nikirembe ukija unakuta nimekalia kiti chako na hukijui unahisi tu kimefanan, na hakwenda kuchukua jini alienda kukichukia mwanadamu kwa hatua ya jicho kufungwa na kufunguliwa.
Tunaweka tyles sasa ila nyumba ya nabii Suleiman ilikua na samaki wanatembea chini unaekanyaga unawaona je tuseme ni kioo kigumu au ni nini walitumia kwa ambavyo tunafanya sasa, ila usiseme dini haina majibu bado hujaisoma dini kasome tena vizuri tafadhali

Kwanza rekebisha kauli mimi sio dogo, nisiongezee mengine, naandika kistaarabu sababu namuheshimu kila alie kwenye keyboard simfahamu kiumri wala maisha yake sina sifa hata moja ya wewe kuniita dogo tena usishangae nnje ya hapa ukanisalimu kwa adabu zote. Ahsante1. Wapi nimesema wanasayansi hawana
Imani zao?
Injili, Injiri
.
Ni vizuri hizo unazoziita ´Prove’ ukaziandika hapa mjomba, si ni ndiyo maana ya JamiiForums !
Kwahiyo nikifuatisha ya wengi nitajua maana? Is that what you mean— hebu read it loud and see how you sound ? Very sad to read such a comment.
Yani wewe bhana, you are writing a lot of none sense issues. Sasa hivyo visa vya Kwenye vitabu takatifu, did you prove them kwamba kweli vilitokea? Sisemi kuwa havikutokea, I DO NOT KNOW, Ila Wewe unayesema vilitokea, prove it and stop giving us your personal experience.
Dogo, you need to learn the difference between faith and truth.
Truth means being in accord with fact or reality. Fact can be verified.
Faith is a claim of belief or opinion. Faith is not a fact until it has been verified.
If a person says, Judaism is the only true faith of God, he is making a claim of belief. It will be fact until we prove that kweli Judaism ndio only way to God.
Sasa wewe you are telling me your claim, your faith. you give me your biography, I don’t need that Boy, I need something tangible, truth with fact, stop blah blah Utosini sijui miguuni, ndo mavi mavi gani ?
How did you prove that the soul leaves the body from utosini. That is what I want to hear.
There are a lot of faiths on earth, and everyone claims to be true. Therefore, ni lazima kuuliza ithibati ya hizi mambo so that we won’t end up in believing everything they say.