Asante kwa makala murua darling.
Nimekuwa nikisia neno Mafia tokea utotoni lakini sikuwahi kujua maana yake hasa.
Like "Yule jamaa Mafia sana","Nitakufanyia umafia" n.k
Asante kwa kunitoa tongotongo.
Nami sasa najiona mjuzi wa mambo kati ya wajuzi kupitia wewe
.