Wakati nasoma Italia kuna jamaa nilimpa kitabu kinaeleza mambo ya utalii wa tanzania akisome.baada ya siku tatu ananiambia omar kumbe tanzania kuna kisiwa kinaitwa mafia wakati huku kwetu mafia ni kikundi cha uhalifu
.mafia mkuu huko Sicilia sehemu za Palermo dahh pia Napoli.