Interesting, MAMMAMIA.!! just 'my' somewhat additions to the topic, me naona ufisadi unaanza kwa sisi wananchi wa kawaida . . .to uongozi! Af hapo ndo we sum up to a total FISADILIZED nation!
Tubadilike sisi wenyew kwanza mmoja mmoja kwa kukataa ufisadi mdogo wa chin, tukimaliza hapo tumeweza mbona,hao wachache juu hawatatushinda!!! na hata viongoz wabaadae watakua swaafi!! swala gum n nani aanze kubadilika huku chin?? Kila mtu anamtolea macho mwngine!!!!