Correct this card info or try a different card-Google Play Store

uhojoli

Member
Jun 30, 2012
18
5
Habari wadau,

Nimekutana na changamoto katika kufanya malipo kwenye akaunti ya Google kwa ajili ya kupata huduma ya Google Play Store. Napata error message
"<i>Correct this card info or try a different card.</i>"
Nimeweka infomration za kadi ya malipo sahihi kabisa kwa kadi tatu tofauti 1 moja ikiwa ni ya Visa na 2 za MasterCard bila ya mafanikio. Moja kati ya hizo kadi za Master Card nimeweza kufanya malipo kwa huduma ya Amazon(Online Purchase) bila ya tabu yoyote.
Kama kuna ambaye amewahi experience hii na kupata suluhu yake au mwenye kujua anisaidie tafadhali. It is crucial based my project time frame. Nipo Tanzania.

upload_2018-2-7_9-28-15.png
 
Back
Top Bottom