Wazee wa nini ?Mkuu unataka kusema nini kwani naona unataka kuwachokoza wale watu wa pedo

Nyungu imesepa na Mbabe wa duniaHao akili kichwani zipo walahi kuliko sisi wapiga nyungu!
Wababe wa Vita barani. Wamejipa lockdown kiaina kusikilizia Kirusi Cha Korona. Hakuna Cha Somalia, Congo wala Central African Republic.
**Hakuna mbabe kwenye kubanwa mbavu.
Chad wamelianzisha, Tigray na kule Kivu tayariCorona imepiga kambi uhindini, India inafyeka watu vibaya sana.
March alisema yes...alifungulia koki!Sisi huku ni mpaka mungu wetu aamue! Akisema NO! Ni NO! Akisema YES! Ni YES!!!
Ha ha haWababe wa Vita barani. Wamejipa lockdown kiaina kusikilizia Kirusi Cha Korona. Hakuna Cha Somalia, Congo wala Central African Republic.
**Hakuna mbabe kwenye kubanwa mbavu.
Umeandika nn Hapa Mama J?Sijui Bank gani wanafedha nyingi za kuwalipa MAANA tunawaongeza kila siku labour
Congo kumenuka tayariCorona Kwisha vita zinaanza
Vita ya TOZO labdaCongo kumenuka tayari